Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Match ya kwanza ..Neves alipofunga goli jamaa alimind sana then akaunga kushangilia...ukitaka kujua ubinafsi wake aliposinda goal la Penat ..then reactions zake ni yeye tu anapaswa kufanya jambo.

Tofauti na Messi ni muunganiko wa team nzima.
Well, Kwa mimi Ronaldo nimekuwa nikiangalia mechi zake akiwa Man U, Madrid kwenye mechi kubwa.

Messi nimeangalia mechi zake, esp akiwa Barc kupitia UEFA na mara chache derby na madrid. Sikuwa shabiki wa Barc, nilikuwa naiona kama ina ubaguzi ubaguzi fulani uchwara.

Messi VS Ronaldo, Messi kamzidi CR7 kwenye team play, skills na madhara ndo maana hata takwimu zinambeba zaidi Messi, but bado Ronaldo ni giant kwenye soka, anajua.
 
Cristiano, hakuna anayepunguza thamani ya Euro 2016. Uliiongoza Portugal na hilo ni jambo la kujivunia. Lakini kusema Euro ni sawa na World Cup ni kupunguza hadhi ya mashindano makubwa zaidi ya soka duniani. World Cup hukutanisha mabingwa kutoka kila bara, ushindani wake ni mpana zaidi, presha yake ni kubwa zaidi, na ndiyo ndoto ya karibu kila mchezaji wa soka. Kama Euro ingekuwa sawa na World Cup, basi kusingekuwa na sababu ya kila mchezaji kulia kwa furaha baada ya kushinda Kombe la Dunia
 
Well, Kwa mimi Ronaldo nimekuwa nikiangalia mechi zake akiwa Man U, Madrid kwenye mechi kubwa.

Messi nimeangalia mechi zake, esp akiwa Barc kupitia UEFA na mara chache derby na madrid. Sikuwa shabiki wa Barc, nilikuwa naiona kama ina ubaguzi ubaguzi fulani uchwara.

Messi VS Ronaldo, Messi kamzidi CR7 kwenye team play, skills na madhara ndo maana hata takwimu zinambeba zaidi Messi, but bado Ronaldo ni giant kwenye soka, anajua.
100% sure
Ndio kutunza heshima akae kimya.

World Cup itabaki kuwa na Heshima.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
100% sure
Ndio kutunza heshima akae kimya.

World Cup itabaki kuwa na Heshima.
Yes, au kama anaongea aongelee kuikuza nafasi ya Port kwa siku zijazo kubeba kombe la WC hata kama yeye si mchezaji.
 
Hahaha, anyway huyu ni wewe na mapenzi yako ila mimi tamaa furaha yangu ingekuwa kama Port na Arg zingekutana.

Imagine, upo na kinywaji chako kuna mechi ya WC, huku Messi kule CR7. Aisee, kwangu mimi ingekuwa best WC japo hata ya Spain na Port was good.

Ok, labda niulize, kwanini unamchukia Ronaldo? Kwasababu ya Messi?
Simchukii hata kidogo ila huu ni utani tu kama ulivyo utani wa Simba na Yanga.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom