Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

makocha wa kileo hawa hovyosana

Fikiria 2002 kocha wa brazil anamwacha romario anamwita Ronaldinho kikosini taifa Zima linapiga kelele na vitisho juu aliziba masikio kilichokuja kutokea aibu ilikua kwao mashabiki

Leo ,unamwita Ronaldo na Neymar jr vikosini kweli usiriazi wa boli haupo
Sasa Mbuzi anataka kombe kwa nini umuache?
 
Matakro kwamba Euro ikafanane na Kombe Dunia..akili hana huyo.Euro ni Muunganiko nji zao ambayo moja imetoa jana.

Hukua amekuja mpaka Morocco..Ghana..tulienda kufanya nini..
Mpuuzi mkubwa kabisa .wameshindwa na ameshindwa..atulize kende zake amalize mambo yake.

Wasidogeshe mashindano haya kwa wengine kisa kufail kwao.

Vijana kama kina Mbape,Haaland..Yamal..Ayyoub..na wengine kibao wanataka kuweka historia kupitia hilo jambo.

KUFAIL kwako asifanye wengine waonekana si bora
Mkuu acha makasiriko kwa "Mbuzi."
 
Hata Messi migoli mingi anavizia tu rejea lile goli la kwanza alilofunga dhidi ya Cabe Verde, ila leo Misri wataoga magoli ya kutosha hii gemu sipangi kukosa kuiangalia kabisa
Messi anavizia lakini anafunga na anasonga mbele.
 
Kosa kubwa alilofanya CR7 ni kukubali kwenda kwenye WC 2026 kama mchezaji tegemeo wa kikosi cha taifa lake. Alikua na machaguo mawili, asiende ama aende kama FAZA anaeingia dakika za mwisho kuonesha kuwa nae pia yupo ili ikitokea wameshinda avae medali.

Sikuzote binadamu huangalia mwisho wako na sio uliyoyafanya, kwa namna alivyotoka jana imempunguzia heshima yake kwa kiasi kikubwa.

Mfano mzuri ni Gaucho, pamoja na kuwa aliachwa na Dunga ile 2010, lakini kwa heshima aliyokua nayo kwenye soka angeweza kulazimisha arejee, lakini alichagua kutunza heshima kidogo aliyoipata 2002 kuliko kuja kujiharibia zaidi.
Sasa aanzie bench au aside kabisa World Cup si atazidi kuachwa na Messi.
 
Ajifunze kufurahia alichokipata maana ndo kilichopo.

Akifanikiwa kuwa na furaha ya kweli kwa mafanikio aliyoyapata watakao teseka ni wale wanaopoteza muda kutaka aumie.

Ila kama anafurahia kinafiki kujifanya haimuumizi kumbe anaumia ni mbaya kwa afya yake ya akili.
😁😁😁 Kwahiyo Jana alikuwa ana Lia kwanini !? Kama kuipa team yake kombe la Euro ni sawa na WC so Why he was cry like a fool !?

Huyu jamaa bhana anapenda sana stunt Mtu ukishindwa kubali tu
 
Mechi ya jana, CR7 angeingia sec half kuanzia dakika ya 70 huenda ingebadili kitu. Haya mashindano alipaswa kuwa mhamasishaji zaidi ya mshambuliaji tegemeo.
Yeye Hilo halitaki bad enough kocha wao ni kama ana muogopa 😁
 
Matakro kwamba Euro ikafanane na Kombe Dunia..akili hana huyo.Euro ni Muunganiko nji zao ambayo moja imetoa jana.

Hukua amekuja mpaka Morocco..Ghana..tulienda kufanya nini..
Mpuuzi mkubwa kabisa .wameshindwa na ameshindwa..atulize kende zake amalize mambo yake.

Wasidogeshe mashindano haya kwa wengine kisa kufail kwao.

Vijana kama kina Mbape,Haaland..Yamal..Ayyoub..na wengine kibao wanataka kuweka historia kupitia hilo jambo.

KUFAIL kwako asifanye wengine waonekana si bora
Yule ni mwehu 😂
 
Back
Top Bottom