Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
919
Reaction score
1,349
Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.

“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo.
 
Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.

“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Ajifunze kufurahia alichokipata maana ndo kilichopo.

Akifanikiwa kuwa na furaha ya kweli kwa mafanikio aliyoyapata watakao teseka ni wale wanaopoteza muda kutaka aumie.

Ila kama anafurahia kinafiki kujifanya haimuumizi kumbe anaumia ni mbaya kwa afya yake ya akili.
 
Hakika.
 
Sizitaki mbichi hizi !.

Huyo Mbuzi mwitu wenu akubali amechoka.....akipangwa kwenye lineup ni sawa na Portugal wapo pungufu! Amekuwa mviziaji kwenye box tu afunge....
Mechi ya jana, CR7 angeingia sec half kuanzia dakika ya 70 huenda ingebadili kitu. Haya mashindano alipaswa kuwa mhamasishaji zaidi ya mshambuliaji tegemeo.
 
Ajitahidi lini tena na tayari ameshatoka?
Ndo hii mentality hatakiwi kua nayo.

Si lazima acheze ndo port ibebe kombe la dunia.

Anaweza kuleta hamasa, anaweza kutoa suport kwa vijana, anaweza kufund, ana njia nyingi sana za kulisaidia taifa lake kubeba kombe la dunia na historia ya port ikamkumbuka.
 
CR7 aendelee na maisha yake.Sisi akina kaflambute,omba masikini tunaohangaika kumfananisha na hatumsaidii kitu chochote tutulize viuno na kuacha nongwa.
Unamaanisha jioni ya leo wakati CR7 na familia yake wanahuzunika wakiwa ndani ya private jet wakienda kupumzika kwenye hotel ya kifahari kuna anayemcheka huku ana constipation sababu alishindia mihogo yenye pilipili?
 
Hilo si la kuuliza ndiyo akili za wala mihogo zilivyo.Mimi namuona CR7 ni mtu aliyeshinda mengi maishani.Hakuna wa kumtishia nyau.That's it!
 
Ndo hii mentality hatakiwi kua nayo.

Si lazima acheze ndo port ibebe kombe la dunia.

Anaweza kuleta hamasa, anaweza kutoa suport kwa vijana, anaweza kufund, ana njia nyingi sana za kulisaidia taifa lake kubeba kombe la dunia na historia ya port ikamkumbuka.
Akawe kocha sasa
 
Back
Top Bottom