Ronaldo: Kubeba Euro 2016 kwangu ni sawa na World Cup tu

Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.

“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Maneno ya mkosaji
 
makocha wa kileo hawa hovyosana

Fikiria 2002 kocha wa brazil anamwacha romario anamwita Ronaldinho kikosini taifa Zima linapiga kelele na vitisho juu aliziba masikio kilichokuja kutokea aibu ilikua kwao mashabiki

Leo ,unamwita Ronaldo na Neymar jr vikosini kweli usiriazi wa boli haupo
 
Unawajua washabiki na maneno yao kweli?Asilimia 95 ya maneno ya washabiki huwa wanatoa ya moyoni na kulenga/kutamani iwe ukweli na itokee.
Na ndiyo ushabiki wa mpira au wewe unafikiri mashabiki wa Simba wakishangilia kufilisika kwa Yanga wanakuwa wanaigiza na furaha haitoki moyoni?
 
Matakro kwamba Euro ikafanane na Kombe Dunia..akili hana huyo.Euro ni Muunganiko nji zao ambayo moja imetoa jana.

Hukua amekuja mpaka Morocco..Ghana..tulienda kufanya nini..
Mpuuzi mkubwa kabisa .wameshindwa na ameshindwa..atulize kende zake amalize mambo yake.

Wasidogeshe mashindano haya kwa wengine kisa kufail kwao.

Vijana kama kina Mbape,Haaland..Yamal..Ayyoub..na wengine kibao wanataka kuweka historia kupitia hilo jambo.

KUFAIL kwako asifanye wengine waonekana si bora
 
😜😜😜😜Yeye ndivyo anavyojisikia.Hayo mengine ishi nayo kispoti tu.
 
Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.

“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom