Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,366
- Thread starter
- #101
Hakika mkuu.mbuzi ni mbuzi tu..
Hakika mkuu.mbuzi ni mbuzi tu..
Kila mtu na GOAT wake hata team Penaldo pia mtafurahi La Pulga akitolewa.Mkuu hoja ni kuwa, unayeshindia mihogo usijisikie umetimiza malengo kwa kumuona CR7 analilia world cup.
Watu hatufurahii machozi yake tunafurahia kutoka kwake.Mkuu, kuna mstari mwembamba sana wa ushabiki na tatizo la akili. Ukiona machozi ya Ronaldo yanakuwehusha ujue ushavuka level ya ushabiki.
Kwamba Ferguson yeye alijua kwamba Ronaldo hatochukua WC?Yes. Jamaa kapambana ila kila kipindi ni kilio. Tafuta maoni ya Ferg, kocha mwenye mafanikio wa manchester united, ameielezea vizuri ishu ya Ronaldo kukosa wc.
Usiseme hivyo mkuu muheshimu Mbuzi.Ronaldo ni mgonjwa wa akili
Anaongea sana na kujitukuza kana kwamba yeye pekee ndiye mchezaji..Well, Messi ni Giant pale na wachezaji hawana shida nae, wanampigania.
Wachezaji wanawaza where is Messi ili afunge au aasist. Pale port inaqezekana Ronaldo hakupata hii kitu.
Messi hata angetoka hatua za makundi, hana deni. Ameshatupa kila kitu kwenye soka.Kila mtu na GOAT wake hata team Penaldo pia mtafurahi La Pulga akitolewa.
Tofauti ni nini? HahahaWatu hatufurahii machozi yake tunafurahia kutoka kwake.
Kweli? Basi imemcost. Nimeona sehemu Morinho kasema jambo kuhusu wachezaji wenzake, sijui kama ni official au la..Anaongea sana na kujitukuza kana kwamba yeye pekee ndiye mchezaji..
Tofauti ni kwamba akilia huku hajatolewa hatutofurahi ila akitolewa hata kama hajalia tutafurahi.Tofauti ni nini? Hahaha
Pole mkuu kwa kupitia kipindi kigumu, vipi umetoka moja kwa moja au unachagua timu moja katika zilizobaki?Hautaki kusikia maneno uchwara he's the only 🐐 na Hakuna wa kubadili hiloView attachment 3624301
Mimi ni team hallandPole mkuu kwa kupitia kipindi kigumu, vipi umetoka moja kwa moja au unachagua timu moja katika zilizobaki?
Hahaha, anyway huyu ni wewe na mapenzi yako ila mimi tamaa furaha yangu ingekuwa kama Port na Arg zingekutana.Tofauti ni kwamba akilia huku hajatolewa hatutofurahi ila akitolewa hata kama hajalia tutafurahi.
Match ya kwanza ..Neves alipofunga goli jamaa alimind sana then akaunga kushangilia...ukitaka kujua ubinafsi wake aliposinda goal la Penat ..then reactions zake ni yeye tu anapaswa kufanya jambo.Kweli? Basi imemcost. Nimeona sehemu Morinho kasema jambo kuhusu wachezaji wenzake, sijui kama ni official au la..
Asionewe huruma..nguvu anayotumia ndiyo nguvu inayotumika inamrejea..afunge bakuli😀😀Sio yeye pekee kuna malejendari wengi tu wamekosa hilo kombe.
Hivyo tumuache maana hata hicho alichokipata sio kidogo.
Mtamuua bure huyo Mbuzi.Asionewe huruma..nguvu anayotumia ndiyo nguvu inayotumika inamrejea..afunge bakuli😀😀