Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,362
- 10,424
Angalia mechi ya kombe la dunia leo saa mojaUsiniambie mkuu!?Nifanyeje ili niwe mwenyeji na miaka ya kufa i-karibu!
Angalia mechi ya kombe la dunia leo saa mojaUsiniambie mkuu!?Nifanyeje ili niwe mwenyeji na miaka ya kufa i-karibu!
Sasa kitu gani kilikua kinamliza jana?Hataki kukubali kwamba amekosa taji muhimu zaidi kwenye football.
Leo Cr7 anashabikia Misri.Angalia mechi ya kombe la dunia leo saa moja
Anashabikia waarabu waajiri wakeLeo Cr7 anashabikia Misri.
Hata Messi migoli mingi anavizia tu rejea lile goli la kwanza alilofunga dhidi ya Cabe Verde, ila leo Misri wataoga magoli ya kutosha hii gemu sipangi kukosa kuiangalia kabisaAmekuwa mviziaji kwenye box tu afunge....
Mpuuzi tu kama walivyo baadhi ya mashabiki zake..Sasa kitu gani kilikua kinamliza jana?
Mbuzi ndio safari yake imeishia hapo kwenye WC
Ila tunamshukuru kwa mchango wake kwenye football,
Tatizo la Mbuzi amekuja zama za Messi.
Cr7 ni tajiri ila jana alikua analia,Kuna mtu ukute mwaka huu anajisikia katimiza malengo yake sababu Cr7 hajabeba world cup. Na ana furaha kweli.
Gemu ya leo ni moja ya gemu tamu sana kuiangalia sababu mpira wa Misri upo slow sasa anakutana na Argentina mpira kasi naona wataoga magoli mengi na Messi anaweza akawashindilia 3 mfululizoLeo Cr7 anashabikia Misri.
Mbuzi wa Omari Umea anashikilia rekodi ya kulia kwenye mabara sita tofauti.Sasa kitu gani kilikua kinamliza jana?
Mbuzi ndio safari yake imeishia hapo kwenye WC
Ila tunamshukuru kwa mchango wake kwenye football,
Tatizo la Mbuzi amekuja zama za Messi.
Itakuwa Mpira maanangalia chini ya Ardhi huko sio huo tunaotazama wengine..Messi kapewa mpaka penat..na leo atapewa zingine 3..Hata Messi migoli mingi anavizia tu rejea lile goli la kwanza alilofunga dhidi ya Cabe Verde, ila leo Misri wataoga magoli ya kutosha hii gemu sipangi kukosa kuiangalia kabisa
SIZITAKI MBICHI HIZI. wakati hapo mwanzo aliziona ni mbivu.Baada ya Portugal kutolewa na Spain kwenye World Cup 2026, Cristiano Ronaldo alisema Euro 2016 kwake ina uzito sawa na World Cup.
“Watu wanaweza kusema chochote wanachotaka… lakini kwangu, kuipa Portugal Euro ilikuwa na uzito sawa na World Cup kwa hiyo, nina furaha.” alisikika "MBUZI" huyo
Labda anasafisha macho.Sasa kwa nini huwa analia anapotolewa?
Kweli kabisa migo, Mbuzi amejichanganya kwa GOAT.Sasa kitu gani kilikua kinamliza jana?
Mbuzi ndio safari yake imeishia hapo kwenye WC
Ila tunamshukuru kwa mchango wake kwenye football,
Tatizo la Mbuzi amekuja zama za Messi.
Kwa hiyo machozi yake yamemwagika kila bara?
Sasa wao si kazi yao😅Ni kama polisi kubeba mabunduki usiku na mchana na kujazana barabarani huku wakisema hali ni shwari kuna amani😀
Bila shaka ni wewe ni team Penaldo.Hilo si la kuuliza ndiyo akili za wala mihogo zilivyo.Mimi namuona CR7 ni mtu aliyeshinda mengi maishani.Hakuna wa kumtishia nyau.That's it!