Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Face The reality Bro, First family wanazo hizo Privilege INGAWA sina uhakika kwa mtoto ambaye ni mtu mzima na anayejitegemea anafall under those privileges. Ebu Pata angalizo hapa:

1 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/OGbEFL4f-yO/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »

Obama+Daughters+Dropped+Off+School+4R2YCjsAqlMl.jpg

Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)

http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/4R2YCjsAqlM/Malia+Obama2 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/niP_zRBOLr2/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »

Obama+Daughters+Dropped+Off+School+OGbEFL4f-yOl.jpg

Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama, daughter of U.S. President-elect Barack Obama, is dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)

3 of 3 http://www.zimbio.com/photos/Malia+Obama/Barack+Obama+Holds+Election+Night+Gathering/jPYfXCSkZmMSee All Malia Obama Pics »
Obama+Daughters+Dropped+Off+School+niP_zRBOLr2l.jpg

kama una chuki na Ridhwan kwa hili hauko sahihi, kwanza mimi naona Tanzania ndio nchi ya kwanza duniani inayotoa ulinzi mdogo sana kwa familia ya Rais kama alivyosema fofofo hapo juu. Mtoto wa Rais akithurika ni familia yote ya Rais itakayoingia kwenye msukosuko. Katika mambo ya ulinzi wa Rais wanasema mmoja wa wanafamilia akiuawa basi nchi itasimama kwa muda kwa maana kwamba, rais na timu yake ya viongozi wa kitaifa wataelekeza macho na nguvu yao ya utendaji kazi kwenye msiba pengine hata kwa siku tatu au wiki. Kila binadamu ana majonzi akiwemo Rais endapo lolote baya litatokea dhidi ya familia yake.
 
Mambo mengine ni siasa tu, mtoto wa Rais kupata escort ya watu wa usalama na magari ya Ikulu, bila nembo wala bendera ya baba yake (ambaye ni Rais) ni jambo la kawaida duniani kote. Ningeshangaa tu kama Ridhwan angetumia nembo za Ikulu kwa maana ya nembo ya Rais kupita barabarani lakini hili halina tatizo kwenye mambo ya ulinzi wa Rais na familia yake kokote duniani..

duniani kote nchi gani ?...hizo nchi zilizotosheka kiuchumi na kutupa misaada ndio zinaweza kufanya hivyo...sio nchi maskini kama yetu....wewe unaona ni sahihi taxpayer's money kutumikakugharamia escorts za magariya mtoto wa rais ambaye hata hafanyi kazi zinazohusiana na maendeleo ya jamii...au na wewe ni fisadi...kutumia nembo kuna hasara gani.?....angetumia gari lake binafsi halafu aweke nembo ya rais its well and okay .... nchi ina matatizo mengi ya kutatua sio upuuzi huo unaoutetea
 
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
Kisidumu chama cha majambaziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
OOOOh nchi yangu nzuri Tanzania unaelekea wapi sasa au unataka kutuletea ya kule Misri na Tunisia tena ili tuandamane tusifanye kazi watu hawa wafunge virago waondoke kabisa waende wakale maisha huko dubai????!!!!!!!!!!!!.

Hebu wakuu wekeni japo kapicha ka msafara kalivyokuwa ili nasi tuchangie tukiwa kamili. Lakini kama ni kweli mchezo huu uachwe mara moja kwa kuwa hata kina Madaraka, Makongoro, Abbas na ndugu yake Hussein hatukuwahi kuwaona wakiwa na Escot!! sijui kulikoni kwenye hii familia ya Mukulu wa sasa?.

Wazee wa itifaki hebu tuambieni utaratibu wa Escot ukoje ili tusionee wenye nchi yao.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mtoto wa Rais lazima asindikizwe kiusalama kadri itavyoonekana inafaa ili kumuwahisha mahala au pia kumlinda ikibidi. Siku za hivi karibuni Ridhwan amekuwa kwenye mjadala mkubwa kitaifa hali ambayo inaweza kutishia usalama wake na ndio maana siwezi kushangaa kumuongezea ulinzi. Jambo la kawaida hata kwa Raia yeyote. Tumeshuhudia polisi wakitoa ulinzi baada ya kupata taarifa za vitisho kwa raia sembuse ndio mtoto wa Rais......you are kiding?
 
Nina mashaka kama mtoa mada anajua kwamba hata yeye anaweza kupata ulinzi endapo tu ataomba kupewa baada ya kupata vitisho. Tusichanganye masuala ya ulinzi na siasa. kama tunamchukia Rais na familia yake kisiasa ni jambo jingine na kutoa ulinzi kwa Rais na familia yake.......ulinzi ni jambo la uhai wa binadamu, Jambo la kanuni za ulinzi popote pale kwa upande wa viongozi na familia.
 
Ndugu yangu, wewe leo ndio umeona kuwa Ridhiwani anasindikizwa na motorcade ya gari zisizopungua tatu, mimi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu nimekutana nae mara kadhaa akiwa na msafara wa magari ya ikulu matano (nissan patrol nyeusi). Tena wakati fulani walinitimua barabarani nikaegesha pembeni, kufika Korogwe pale magari ya DAR Express yanaposimama kwa chakula nikashangaa kukuta yale magari yote matano yamepack na wapambe wakiwa wanachokonoa meno tu wanamsubiri mtoto wa mkulu amalize waendelee. Pembeni kila mtu ananong'ona Ridhiwani, Ridhiwani. Mie ninachomwomba JK leo kwenye jukwaa hili ni kwamba na yeye alipe P.A.Y.E. Kama sisi walalahoi tunavyofany sio atafune tu tunachozalisha sisi..
 
halafu huyu bodyguard na driver wa watoto wa obama siyo Wasira kweli....?..mbona wanafanana
 
Jana nimeona na CAG nae ana msafara wa magari saba na pikipiki la king'ora mbele.....ilituwekea foleni pale Morocco
 
Mtuma post kakurupuka hakufikiri kwa kina alifikiri Rais na Ridhwan wamevunja sheria au taratibu za ulinzi wa Rais? Hakuna kosa la wazi katika suala hili.
 
Ndugu yangu, wewe leo ndio umeona kuwa Ridhiwani anasindikizwa na motorcade ya gari zisizopungua tatu, mimi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu nimekutana nae mara kadhaa akiwa na msafara wa magari ya ikulu matano (nissan patrol nyeusi). Tena wakati fulani walinitimua barabarani nikaegesha pembeni, kufika Korogwe pale magari ya DAR Express yanaposimama kwa chakula nikashangaa kukuta yale magari yote matano yamepack na wapambe wakiwa wanachokonoa meno tu wanamsubiri mtoto wa mkulu amalize waendelee. Pembeni kila mtu ananong'ona Ridhiwani, Ridhiwani. Mie ninachomwomba JK leo kwenye jukwaa hili ni kwamba na yeye alipe P.A.Y.E. Kama sisi walalahoi tunavyofany sio atafune tu tunachozalisha sisi..
<br /> Kumbe ulikuwepo siku iyo nilishuhudia hili mkuu..
<br />
 
Unawezaje kumtofatisha Rais na familia yake katika suala la ulinzi? tofauti itakuwa ni nguvu ya ulinzi. itakayotumika.
 
Sina hata ya kutaka kuulizia source, maana baba yake ni ***** ana uwezo kabisa wa kufanya hivi.
wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka uwanja wa kimataifa wa ndege wa mwalimu nyerere (jnia), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na mungu wanajua...kapelekwa uwanja wa ndege na escort akiwa katika gari ya ikulu, lenye ngao na polls mbili lakini halikuwa na bendera. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. Inaskitisha jama, this is extremeeeeeeeee
 
Face The reality Bro, First family wanazo hizo Privilege INGAWA sina uhakika kwa mtoto ambaye ni mtu mzima na anayejitegemea anafall under those privileges. Ebu Pata angalizo hapa:

1 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/OGbEFL4f-yO/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »

Obama+Daughters+Dropped+Off+School+4R2YCjsAqlMl.jpg

Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)

http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/4R2YCjsAqlM/Malia+Obama2 of 3 http://www.zimbio.com/pictures/Lo23...rs+Dropped+Off+School/niP_zRBOLr2/Malia+Obama
See All Malia Obama Pics »

Obama+Daughters+Dropped+Off+School+OGbEFL4f-yOl.jpg

Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama, daughter of U.S. President-elect Barack Obama, is dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)

3 of 3 http://www.zimbio.com/photos/Malia+Obama/Barack+Obama+Holds+Election+Night+Gathering/jPYfXCSkZmMSee All Malia Obama Pics »
Obama+Daughters+Dropped+Off+School+niP_zRBOLr2l.jpg

Obama Daughters Are Dropped Off At School
In This Photo: Malia Obama, Sasha Obama
Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)

Sasha Obama (L) and Malia Obama (C), daughters of U.S. President-elect Barack Obama, are dropped off at school while their dad waits in the car November 13, 2008 in Chicago, Illinois. Obama is working on his presidential transition in Chicago.
( November 13, 2008 - Photo by Pool/Getty Images North America)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom