Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

Yote tisa jamani wanaJF suala la umeme inakuwaje au humu watu ni majirani wa kikwete mnapata umeme! Hili limenifanya niichukie nchi yangu sasa aaarggg...
 
polepole jamani tunachaganya madawa. Mashambulizi dhidi ya kijana huyu yameanza kukosa mantiki. mtazamo wako hasi kwa escort ya Ridhwan ni sawa na kupotea njia. sioni kosa. I stand to be corrected
 
NADHANI NI AMA MIMI AU MWASILISHA MADA ANAOTA!
Unataka kutuambia na sisi tuamini kuwa Kikwete ndio alianza kuwa "rais wa Tanzania"? Nyerere, Mwinyi, Mkapa nao hawakuwa na watoto?

Kulinganisha Kikwete na Bush NI SAWA NA KULINGANISHA MAYAI NA MACHUNGWA! Havifanani hata chembe!

Sidhani kinachojadiliwa hapa ni kule kuona Ridhiwani kapata priviledge kama first son bali ni utofauti unaoanza kujitokeza baina ya jamii za kitanzania katika nafasi zote.Historia haionyeshi watoto wa marais au viongozi wengine wakuu wa nchi Tanzania wakijifanya au kufanywa kama wana ubia kwenye utawala.Tanzania ni nchi maskini mno kuanza kujitengenezea matabaka yasiyo na maana,Huyu Ridhiwani anachokiogopa hasa ni nini? Ni maadui au ni foleni? Kama ni maadui wanatoka wapi wakati tumesoma naye shule za kawaida na kuwa naye mitaani? Kama ni foleni itakayomsababishia achelewe ndege airport, je ni watanzania wangapi wanaoumizwa n hizo foleni? Kwanini asitoke nyumbani mapema kama wafanyavyo wengine? Ina maana wagonjwa, wajawazito na wengine wenye dharura mbalimbali wao wanapita wapi au nani anawajali wanapokwama kwenye foleni?

GIVE US A BREAK RIDHIWANI! YOU DIDNT CAMPAIGN FOR THE PRESIDENCY ......NEITHER DID WE VOTE FOR YOU!

Wachache wenye mawazo kama ya kwako Dada.

Pengine sitawalaum wachangiaji ambao umri wao ni mdogo kiasi kwamba hawakuwaona watoto wa Nyerere toka wakiwa teens hadi utu uzima. Hata awamu ya mzee Mwinyi hapakuwa na First Sons cum Celebrities.
Sijui ni nini kilipelekea RK apewe escort ya nguvu kiasi hicho ambayo ni sawa na anayopewa Mwinyi au Mkapa kwa sasa kama sio Ulevi tu!

Kiwango cha threat kwa US President na Familia yake haviwezi kulinganishwa na threat ya usalama kwa Rais wa Tanzania na Familia yake.

Kuna wanaosema tunaona WIVU. Hivi mfanyakazi wako wa nyumbani au mtoto kufuja mali unazozitafuta kwa taabu unamwonea wivu???
RK kama ana jeuri ya pesa anaweza kuajiri ulinzi wake binafsi, tukilalamika basi mtu atuambie tunaona WIVU.
Mbona hatujasikia hofu ya usalama wa RK ili kustahili ulinzi kama ambavyo angepata raia mwingine pindi maisha yake yakiwa under threat??

Kina Manji, Mengi wana walinzi wao binafsi na hujawahi kusikia watanzania tunalalamika.

Kwa walio karibu na RK wamshauri aachane na pomps hizo hata kama baba/mama/ikulu wanalazimisha awe na escort. Miaka mitano si mingi sana kumfanya ajitenge na jamii ya kitanzania. Gamal Al Din Mohammed Hosni Sayed Mubarak leo hii anakimbilia uhamishoni, mwana wa mfalme anakuwa mtumwa nchi ya ugenini.

Modesty life hum-connect mtu na wanajamii ndio maana Princess Diana anakumbukwa hadi leo kwa vile hakuna kuwa kwenye Royal family ni kitu cha kuambatana nacho.
 
Ridhwan kavunja kipengere kipi cha katiba au sheria? Tusiendeshe nchi bila kufuata sheria kamwe hatutaweza kuwa viongozi bora wa baadaye.
 
First son jamani ulinzi lazima, though sipendi but protocol kuzingatiwa muhimu, mwacheni ale mapurupuru ya u-prezidaa, au mpwa unataka ukutane nae kwenye dalalada?
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...

iyo sayari ya ngapi mkuu? Unajua limit ya motorcade kwenye govt.protocol au umeamua kuandika mkuu? Aya bwn,andika andika tu!
 
Ni matusi kufanya kampeni kwamba mtoto wa Rais asipewe ulinzi ama escort. Gharama ya kuwa na kiongozi mkuu wa taifa lolote ni kubwa, pamoja na gharama hiyo ni hiyo ya kumpa escort mtoto wa kwanza (fisrt son) au mama wa kwanza ( first lady) ambao ni sehemu ya baba wa kwanza ( Rais). Usifikiri kuitwa mtoto wa kwanza wa taifa ni lelemama, ni jina linaitwa duniani kote likiambatana na gharama zake.
 
Ridhwan kavunja kipengere kipi cha katiba au sheria? Tusiendeshe nchi bila kufuata sheria kamwe hatutaweza kuwa viongozi bora wa baadaye.

kila kitu kikiwekwa kwenye katiba basi iyo katiba page zake zitakuwa na size ya 6 kwa 6 kama kitanda na tani kama 3000 ivi. Pia si kila ki2 ni sheria sheria!
 
Tuseme yote lakini hili la escort halina tatizo labda kama angekuwa ndugu wa mbali wa Rais anayepewa escort nisingepuuza kushangaa
 
kwa kuwa hatuoni Ridhwan akipewa escort wakati wote inawezeka siku hiyo ilikuwa inahitaji escort ili aweze kwenda na muda. Ni viongozi wangapi wanatumia magari ya umma kwa kubebea nyasi, na kupeleka watoto shule na kwingineko? Ajabu ni nini kwa hili?
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

mawazo ya kitoto kuhoji escort ya mtoto wa Rais.
 
kama una bifu na Ridhwan tuambie mada ingine ya bifu lako nasi tutasaidia kujadili hapa lakini la escort ni utumbo wa kuwapa mbwa kula haufai kwa binadamu kula. Mada inanuka chuki badala ya hoja ya nguvu. unataka kutuambia huji kuwa Ridhwan ni mtoto wa Mkulu? kama huna jingine hili umetuletea si sawa.
 
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??


KWA HIYO APISHWE KWENYE FOLENI??? WATANZANIA WANAJAZANA KWENYE MABASI - WANASIMAMISHWA MASAA - ETI RIZWAN KIKWETE APITE ..........HALAFU FOLENI NA MFUMO MBAYA WA PUBLIC TRANSPORT BABAKE WALA HASHUGHULIKII ........BAHATI YAKE MIE SIO TRAFFIC POLICE - NISINGEMPITISHA KWENYE FOLENI .............ANGEKAA MASAMAA - AJUE WATANZANIA WANATESEKA KIASI GANI ...

NAMSUBIRI 2015 - LABDA AHAMIE ARABUNI.................... HASTAHILI YOTE ANAYOFANYIWA KWANI BABAKE NA MARAFIKI ZAKE WAMEKULA HELA ZOTE ZA WATANZANIA .....................KODI ZOTE WAMECHAKACHUKUA - KUJIDAI KUISHI MAISHA YA KIFAHARI ......UJINGA MTUPU... MBONA WATOTO WA JULIUS KAMBARAGE WALIKUWA HAWAPANDISHI MABEGA??? KWANZA WAO NDIO WANASTAHILI KUPATA ESCORT KWANI BABA YAO KALETA UHURU TANZANIA BILA UMWAGIKAJI WA DAMU ...................... nawasilisha!!
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Escort ina maana kubwa kwa mtoto wa Rais
 
Ndio maana tukawaomba mumchague rais mwenye mchumba ili tusipate hasara ya magari ya ikulu kutumiwa na watoto wa rais.

Kwa hiyo mchumba akiolewa, mpaka apate mimba azae, baba anatoka madarakani mtoto bado mdogo. Uchaguzi mwingine anachaguliwa mwenye mchumba!! Lol
 
Kimsingi sishangai lakini pia ninadhani wakati sasa umefika wa sisi kujua ni maana ya kuwa mkuu wa nchi, ni maana ya first lady, nini maana ya upekee wa familia ya rais. Ridhiwan/miradji/khalfan.........wanayo haki sawa ktk upekee wa familia ya jakaya mrisho kikwete. Huu ndio msingi wa jamii kumshangaa sana mtoto wa mkuu wa nchi anaposhindwa ku behave ki upekee ktk jamii.

Tatizo ni msingi alouanzisha mzee kambarage, hakukuza hali hiyo lakini hata pale walipokuwa kilakara au mirambo ni dhahiri shule hizo zilikuwa na waalimu wengi mashushu na pia polisi na wana usalama waliwajibika kiaina.

Jingine la muhimu ni sana ambalo linalomhusu jakaya mkuu wetu" watoto wa jakaya ni vijana wachanga, waliokulia na kusomea hapa nchini, wana marafiki wengi street kama baba yao na pia mama yao mzazi/mlezi ni mwalimu wa primary hivyo naturally yuko attached na jamii direct, sasa ktk mazingira haya ya makuzi, utumishi na siasa ni lazima hawa vijana wenzetu wanalazimishwa kujitenga na jamii na only way ni vyombo vya dola kuwa front ktk kila walifanyalo ili kudhibiti usalama na pia kuhakikisha usalama wa pr yao" na tuzingatie sana hali ya kisiasa ya nchi yetu kwa sasa.

All in all ni wajibu nchi yetu kumlinda jakaya & family
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom