Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...

unadhani hawajui? majungu tu na kukosa vitu vya maana kufanya.
 
acha wivu wa kijinga!!
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
 
kama kweli hizo zote ni hasara ambazo serikali inatupatia wananchi kwa matumizi yasio na lazima, inauma sana lakini tusife moyo la muhimu ni kuamshana na kua tayari kuninusuru nchi tayari wa misri na tunia pamoja ivory coast wametuonyesha nia ni awajibu wetu kuamua na sio kukaa kimya, kwani muda unatuacha.
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...
wanapewa ulinzi kutokana na threat level...escort ya magari matatu ni no no...mara nyingi wanapewa dereva na mlinzi na gari moja, huyo kikwete ana watoto nane sijui sasa kama wote wanapewa same treament si mzozo huo.
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...

Asante Mkuu wanadhani Ridhiwani ni mtoto wa John Mkulima,au Athumani Maredio.
 
Mawazo ya kibwege sAnaa haya

Hayo mawazo wa busara yako wapi ya kutaka kumfananisha Ridhiwani Kikwete na wewe sawa? Uchaguzi umeshaisha wakuu mkae mkilitambua kuwa jamaa sasa ni mtoto wa rais au kwa jina lengine First Family sasa sio la ajabu yeye kupewa ulinzi unless mna lenu mnataka kusema.
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...

This is only if mtoto hajafikisha 18 years only!
 
true that huyo ni mtu mzima hebu wakome kabisa kumisuse public funds wanaogopa kivuli chao ha ha ha ha na bado ili mradi Pinda katuambia tukimuona tumwite mwizi atatukoma akipita anga zetu
 
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??

NADHANI NI AMA MIMI AU MWASILISHA MADA ANAOTA!
Unataka kutuambia na sisi tuamini kuwa Kikwete ndio alianza kuwa "rais wa Tanzania"? Nyerere, Mwinyi, Mkapa nao hawakuwa na watoto?

Kulinganisha Kikwete na Bush NI SAWA NA KULINGANISHA MAYAI NA MACHUNGWA! Havifanani hata chembe!

Sidhani kinachojadiliwa hapa ni kule kuona Ridhiwani kapata priviledge kama first son bali ni utofauti unaoanza kujitokeza baina ya jamii za kitanzania katika nafasi zote.Historia haionyeshi watoto wa marais au viongozi wengine wakuu wa nchi Tanzania wakijifanya au kufanywa kama wana ubia kwenye utawala.Tanzania ni nchi maskini mno kuanza kujitengenezea matabaka yasiyo na maana,Huyu Ridhiwani anachokiogopa hasa ni nini? Ni maadui au ni foleni? Kama ni maadui wanatoka wapi wakati tumesoma naye shule za kawaida na kuwa naye mitaani? Kama ni foleni itakayomsababishia achelewe ndege airport, je ni watanzania wangapi wanaoumizwa n hizo foleni? Kwanini asitoke nyumbani mapema kama wafanyavyo wengine? Ina maana wagonjwa, wajawazito na wengine wenye dharura mbalimbali wao wanapita wapi au nani anawajali wanapokwama kwenye foleni?

GIVE US A BREAK RIDHIWANI! YOU DIDNT CAMPAIGN FOR THE PRESIDENCY ......NEITHER DID WE VOTE FOR YOU!
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Anapelekwa kama mtoto wa rais

Kwani hujui anaweza akaamuru hata wewe utupwe selo?
 
UDAKU mtupu. Tuwekee picha hapa na si story za kitchen party.

Ushahidi mwingine ni vigumu kuutoa jamaa alikuwa kwenye tuktuk anawahi Kiembe mbuzi sasa angepigaje picha?

Ni ngumu kama sheria ya kujamba ikipitishwa huko bondeni kwa wenzetu
 
Nijuavyo mimi watoto wa marais wengi tu duniani(wanaounda first family) hupewa ulinzi na ama polisi,jeshi,secret service ama chombo chochote kinachosimamia usalama wa viongozi kwa nchi husika(ikiwa ni pamoja na kuwa na motorcade yenye escort ya walinzi) so Ridhwan kama mmojawapo wa watoto wanaounda first family ulinzi ni stahili yake...

Mtoto au zee zima kubwa jinga? Halafu hapa tunazungumzia TZ. tunaangalia precedent iliyowekwa na waliyowatangulia. hatukuwona akina Husseni Mwinyi, Makongoro Nyerere, Wale watoto wa Mkapa, nk wakipewa presidential escort, na wala hatukuona wake zao na watoto wao wakiingilia siasa hadi kufanya kampeni ... this family need psychiatric help
 
watanzania ni watu wema sana ni wakarimu sana ni watu wanaopenda watu wana utu lakini muogope sana mtu anayepata matatizo au msiba alafu analia atoi machozi siku ukimuona amelia akatoa machozi ujue yamemfika na kitu atakacho kifanya dunia itajua kuwa kuna mtu kabadilika ndivyo ilivyo kwa hawa watanzania siku wakiamua sasa dunia yote itahamia tanzania kuangalia vita hiyo kwa sababu watanzania ni wavumilivu sana ila kuna siku itafika watabadilika na mziki wake autachezeka kwa sababu itakuwa ni vita ya walionacho na ambao awana.
 
Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika. Na hili lipo hata ulaya na marekani au mmesahau familia ya george Bush na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??

Tanzania siyo monarchy, kwa hiyo watoto wa rais ambao wameshajitegemea hawawezi kuendelea kuwa na ulinzi wa rais. Ni wale tu ambao bado wanalelewa na baba yao ndio wanaoweza kuwa na ulinzi huo kwa vile bado wanalindwa na baba yao ambaye ana majukumu ya kuongoza nchi. Mtoto akishaanza kujitegemea basi anatoka kwenye ulinzi wa baba na hivyo ulinzi wa serikali pia. Hivyo mwishowe tutalinda nyumba ndogo, watoto wa nyumba ndogo na wajukuu wa nyumba ndogo. Watoto wa bush walikuwa wanasumbua kwa sababu walikuwa bado wanaishi na baba yao, baada ya kuolewa hawakuwa na ulinzi huo tena; hata rais Bush atakosa ulinzi huo baada ya miaka kumi tu toka kustaafu.

swali lililoulizwa siyo la wivu bali ni swali sahihi kabisa kwa mustakhabali wa nchi hii.
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Hii naona si habari kamili ni tetesi tu. Hata hivyo kama ni kweli ni utumiaji hela zetu vibaya wakati serikali sasa hivi haina hela na hazina imeisha agiza wizara na tasisi za ummaa kupunguza bajeti zao kwa 40% na zaidi. Too bad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom