Ridhiwan anapewa escort; Kwanini?

Kwani mtoto wa rais hadeserve usalama wa nchi? Nini maana ya kuwa first family? JF siku hizi imejaa watoto na watu wenye wivu tu. Kama mtoto wa rais anatakiwa apate ulinzi wa serikali ili kumlinda na hatari yeyote. Vilevile wanatengewa budget yao maalum kufanikisha usalama wao including gari za kuendeshwa, askari wa kuwalinda, security escort na kadhalika.
HTML:
[PHP][HTML][I]:roll::roll:[COLOR="#ff0000"][/COLOR][/I]
[/PHP][/HTML]na watoto wake walivyokuwa wakiwasumbua usalama wa taifa wa marekani??
Hapo kwenye red Kumbuka hapa tupo tanzania na haya yanafanyika Tanzania na tunaongelea ya Tanzania. Kwani Tz ni USA?
 
Na hiyo kwani imetokea mara ngapi? kama ni mara moja ujue kuna jambo la msingi na alistahili kupewa escot,, tuache majungu,, tuwahimize baba zetu wawe maraisi tufaidi!!!!
 
Ridhwan hajavunja kipengele chochote lakini aliyeidhinisha hayo magari kavunja!
[/QUOTE
]

Kwani kabla ya hapa alikuwa analindwa je, au monekano wake akiwa mataani na barabara ktk shughuli zake za kila siku alilindwa je? Na uliza hii maana yake huyu aliye tuhabarisha haya haja tuambia. Jana kwenye mtandao wa Al- jazeera walisema siku chache zilizo pita mtoto wa mubaraka wa misri alionekana airport na ulinzi mkali usio wa kawaida ukilinda msafara magari sedan 10 yalio jaa mizigo ambayo baadaye ilipakiwa kwenye ndege tatu na akaondoka, ina semeka kuelekea Uk. Sasa kwa msafara huu ambao umeleta mjadala hapa huwezi jua kilichokuwa kinafanyika. Kukurupuka na kuanza kulaumu watu ambao wana fanyakazi zao kwa uaminifu mnawaonea bure. Hapa TZ sina hakika kama tuna utaratibu wa kutangaziwa threat level iko vipi at any time t.
 
Wakati wa kampeni, baba alimtuma mwana ...sasa baba anamlipa mwana kwa kazi nzuri aliyoifanya ya kuksanya wadhamini...
Ubia wa Urais! Ingawaje mkulu alisema urais wake hauna ubia.
Baba Rais, watoto wanapewa ulinzi kwa usalama wao...hayo hufanywa katika nchi za wenzetu sijui sisi huwa tuna mfumo upi.

Nchi yetu haina utaratibu. Ni "Bendera hufuata Upepo" tu.
 
Hii hospitality ya serikali itaendelea mpaka lini? Kisheria mtoto ni mtu aliye below 18, huyu bwana amepitiliza miaka 18 kwa nini asijilinde mwenyewe kutokana na kazi anayofanya na badala yake alindwe na hela za walala hoi?
 
Jamani tuyaweke kwenye kumbukumbu...maana atatokea raisi katika nchi hii ambaye atawashitaki hata maraisi waliokuwepo madarakani na watoto wao.wajukuu hadi watoto wa ndugu zao.tuangalie watoto wa muasisi wa taifa hili waliishi vipi...napata hasira.
 
Bado wengi mnachangia bila kuielewa thread....hakuna tatizo mtoto wa Rais kupewa ulinzi...ni sawa kabisa.....suala ni kuwa na msafara....yaani wapiga kura wa baba yake wakae foleni yeye apite kwenda Dubai
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE

Mkuu urais wa JK ni mali ya Familia aka BMW....Changanya na akili zako..
 
watoto wa OBAMA sawa - na marais wengine ughaibuni - nadhani wanaweza kutekwa nyara halafu mahela ya kuwakomboa yakawa mengi - lakini nani amteke nyara RIZIWANI kikwete??? huku utamaduni huo hatuna - na baba yake anazo hela za kulipa ramson??? zote alishatengenea mabango - hivyo RIZIWANI aje tu tupande wote dala dala; bajaj etc.

kwanza anampendelea .............. na hao wengine je????? ngoja tuone itakavyokuwa.................
 
Ridhwan hajavunja kipengele chochote lakini aliyeidhinisha hayo magari kavunja!
[/QUOTE
]

Kwani kabla ya hapa alikuwa analindwa je, au monekano wake akiwa mataani na barabara ktk shughuli zake za kila siku alilindwa je? Na uliza hii maana yake huyu aliye tuhabarisha haya haja tuambia. Jana kwenye mtandao wa Al- jazeera walisema siku chache zilizo pita mtoto wa mubaraka wa misri alionekana airport na ulinzi mkali usio wa kawaida ukilinda msafara magari sedan 10 yalio jaa mizigo ambayo baadaye ilipakiwa kwenye ndege tatu na akaondoka, ina semeka kuelekea Uk. Sasa kwa msafara huu ambao umeleta mjadala hapa huwezi jua kilichokuwa kinafanyika. Kukurupuka na kuanza kulaumu watu ambao wana fanyakazi zao kwa uaminifu mnawaonea bure. Hapa TZ sina hakika kama tuna utaratibu wa kutangaziwa threat level iko vipi at any time t.

It is confusing, are you saying R is also running from his country? It cant be
 
Wakuu sijui ninyi mtazichukuliaje habari hizi, kwangu mimi naziona ni habari za kusikitisha. Habari kutoka chanzo cha habari cha kuaminika kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Nyerere (JNIA), zinasema kuwa kijana, mtoto wa mkulu, Ridhiwan, kaonekana uwanjani hapo, ikisemwa kuwa ana safari yake binafsi, kwenda Dubai.

Nachelea kulia. Naomba nijikaze kiume, kijasiri ili niweze kulisema hili, naomba niwezeshwe, maana sasa nchi inakoelekezwa, aaaagh, basi wahenga na Mungu wanajua...KAPELEKWA UWANJA WA NDEGE NA ESCORT AKIWA KATIKA GARI YA IKULU, lenye ngao na polls mbili lakini HALIKUWA NA BENDERA. Mbele kulikuwa na gari ya escort ya king'ora na nyuma gari ya usalama, so the source said.

Kuna mengine tutayaongeza. Kuna kazi nafanya mara moja wakuu, just kuanzia hiyo. INASKITISHA JAMA, THIS IS EXTREMEEEEEEEEE
Mbwembwe zote hizo....hii stori umei-quote kwenye gazeti gani? Sani, Ijumaa, Hamu au Kiu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom