Kwa sheria za nchi jirani ya Rwanda, watoto na mke wa raisi wanatakiwa kupewa ulinzi mkali ikiwezekana na mitutu. Sema Rwanda hali ni tofauti na TZ kwa ajili ya uhasama tangu 1994.
Hatujui sheria inasemaje kwa first family ya TZ, kwa wanaojua ni ulinzi kiasi gani wanastahili watoto wa raisi aliyeko madarakani watueleze.