TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Polen sana alikuwa anaumwa?
 
Hii ni mara zaidi ya pili nakuona unahangaika since nikwambie una wivu juu ya likes za Numbisa.
The door is open.. pumzika unapostahili

Kama humjui Valee. Nikwambie tu, ungebahatika kukaaa nae hata robo saa ungejua ni namna ipi alikuwa mwema.
Ukitaka hata nikuoneshe chats zetu pm nakuonesha.

Namjua vizuri sana kuliko unavyofikiri.
 
Omg another maternal mortality! Inaumiza sana
 
Onyesha usahihi wake
Hakuna Mungu wala imani kwenye maneno "rest", "peace", na "eternity" japo matumizi ya haya maneno yana asili ya kidini. Mtumiaji wa hayo maneno anaweza kuwa mtu mwenye imani / dini. Lakini haimaanishi kila anayesema "rest in peace" anaamini ktk uwepo wa Mungu au wa maisha baada ya kifo. Wengine wanatumia hiyo phrase kama slogan tu, kama msemo uliozoeleka ktk muktadha wa kuwatakia heri wenzetu wafu. Lakini hawamaanishi. Ninayasema haya kama mkristo ninayejitahidi kuuishi ukristo na mseminari niliyesoma divinity.
 
Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
 
Which eternal peace kama mtu anazikwa na kuoza na kugeuka mchanga amani ipi unamtakia wewe
 
Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
Duh,kumbe ni chuga.
Ntashiriki
 
Back
Top Bottom