Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,298
- 150,694
Kutokuwa na maisha ndiyo peace. Hatasumbuliwa na natatizo ya maisha tena.Nimekuuliza which peace you wish her by the way? Unaamini kuna maisha mengine baada ya kufa?
NB: Mungu ampe pumziko jema mpendwa wetu let her soul rest in eternal peace
Hataumwa tena. Hatasikia njaa tena. Hataumizwa tena.
Huelewi wapi?