Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,748
- 28,138
Dah maisha mafupi sana haya
Huyo mtu alikuwa sana sana MMU pale
Huyo mtu alikuwa sana sana MMU pale
Inauma sana!Alikuwa anatamani sana tukutane, ila ratiba zangu hazikuwahi kuwa easy. Kila akiwa Dar Mimi nakuwa mkoani mpaka nilipohama mazima Dar. Alinialika Arusha, ila sikuwahi pata route ya kule.
Anyways, pumzika kwa amani dada Valentina.
😭😭😭😭 Ooh jamaniTaarifa ya Msiba 🕊️
Kwa huzuni kubwa tunapenda kutangaza kifo cha mwenzetu @Valentina Jf 💔, ambaye amefariki dunia baada ya kuingizwa kwenye operesheni katika Hospitali ya Babuu Mkoani - Arusha
Madaktari wamefanikiwa kumwokoa mtoto wa kiume, ambaye anaendelea vizuri.
Taarifa kamili kuhusu mazishi zitatolewa baadaye.
Tunaomba Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja familia pamoja na wote walioguswa na msiba huu. 💔
Dah R.I.P alikua mcheshi sana huyu RafikiMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Dah, naomba uniwakilishe huko MkuuTaarifa ya Msiba 🕊️
Kwa huzuni kubwa tunapenda kutangaza kifo cha mwenzetu @Valentina Jf 💔, ambaye amefariki dunia baada ya kuingizwa kwenye operesheni katika Hospitali ya Babuu Mkoani - Arusha
Madaktari wamefanikiwa kumwokoa mtoto wa kiume, ambaye anaendelea vizuri.
Taarifa kamili kuhusu mazishi zitatolewa baadaye.
Tunaomba Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape faraja familia pamoja na wote walioguswa na msiba huu. 💔
Chai.Jamani jirani Valentina 😭😭
Mrembo wetu ehee tangulia mama. Sisi sote ni wa mavumbini, na mavumbini tutarudi.
pole nyingi pia kwa Hornet na TGP wote 😭
Valee wewe!! Tutakumiss sana mrembo wetu, ulikuwa na moyo wa kipekee sana. Umejawa upendo wa kweli sana. Ulinifunza kuachilia na kumsamehe mtu niliekuwa namchukia kupita neno lenyewe chuki🥹🥹
Dear Hornet kama Em…. Ana nguvu alog in awe anatype feedback hapa. Kama msiba upo Maghorofani au vp 😭😭😭
Kwa hiyo kama ulikuwa una matani naye unatuambia sisi ili iweje?RIP Valentina.
Nilikuwa na matani naye sana!
Kwani umekuwaje siku hizi? Sio yule amazing hance wa tunda....hii character mpya haikupendezi, marafiki/ rafiki ako wa kitambo sijakuzoea hivi. 🤝Kwa hiyo kama ulikuwa una matani naye unatuambia sisi ili iweje?
Apumzike kwa amani ValentineMimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Dah,hii ya Mama kufariki kuacha mtoto ishatokea mtaani kwetuamefariki hospitali ya Mt Meru Arusha, atazikwa makaburi ya Njiro “posssibly J3” marehemu alipata changamoto wakati wa kujifungua.
“Mtoto yuko salama na ndio mtoto wake wa Kwanza wa pekee”
Acha kulazimisha mambo we nyumbu wa Lake Manyara.Which peace?
Ukisema RIP means rest in eternal peace
Anyway: ngoja tumtakie amani ya milele dada etu tuache mabishano