Uncle unijuliage hali mara kwa maraR.I.P
Oooh jamani 😢😢😢Mimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭..
Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira , lakini leo Mungu amempenda zaidi.
😥
Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.
Pole sana mkuu , tufikishie salamu za faraja kwa familiaNiko njiani naenda msibani nikifika nitajaribu, ilaa nna maumivu sana .
Ni ngumu sana lakini binafsi sioni haja ya kufuta.Hakuna nyakati ngumu, kama wakati wa kufuta namba ya simu ya mmoja wa marafiki uliozoeana naye baada ya kutangulia mbele ya haki
Naanzaje kufuta mawasiliano yako sasa 🙌
I can't hold tears on this 😭😭
Pumzika kwa amani rafiki, sote ni wa mavumbini 😭😭😭😭