TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Straight to ignore list.

I will not see any of your posts from here.
Wewe jamaa ni weak sana,kama ni wa kiume basi ni hasara kubwa sana,
Mwanaume ana face kila challenge,sio huo umama,ukipigwa challenge kidogo tu unakimbilia huko kumuignore mtu,

Halafu utakuta na wewe hua unafight for freedom of speech au kuisema serikali haitoi demekrasia,

Sasa uliposema R.I.P ulimaanisha nini? Kubali kua umejichanganya.
 
Hakuna nyakati ngumu, kama wakati wa kufuta namba ya simu ya mmoja wa marafiki uliozoeana naye baada ya kutangulia mbele ya haki

Naanzaje kufuta mawasiliano yako sasa 🙌

I can't hold tears on this 😭😭

Pumzika kwa amani rafiki, sote ni wa mavumbini 😭😭😭😭
Nakumbuka uncle amefariki sikufuta namba, sasa baada ya miezi minne auntie akanipigia kwa namba ya uncle alafu nilikuwa nishalala nilishtuka sana na sikupokea hadi alipotuma msg ingawa nikamtafuta kesho yake nikimdanganya kuwa nilikuwa nimelala.
 
Back
Top Bottom