TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Hatuwatishi mkuu, tunaongea mambo yaliyopo. Mke wangu pia alikatazwa ku-conceive japo alitaka sana, risks are high ukishavuka 35. Sisemei scenario hii, I'm just being geneal. Wala usiichukue too personal, poleni kwa yaliyotokea.

Kuna wamezaa hata hadi 45.. wengine zaidi..na walizaa salama
Tuzidi kuomba na tukumbuke kila mtu na mwili wake na yake.. au pia kuombea changamoto zisitokee za makosa ya madaktari na wanaishia kusingizia umri wa mtu.
 
Okay, usitumie sunrise year uliyoona kuhisi kwamba 40yrs ni risk kuzaa.
Nadhani hukumfahamu… kuna other factors( hii sentensi iishe hivi hivi pls)

Msitishe wanawake wapate hofu kwamba miaka fulani ni hatari kuzaa..
Niliona research moja inasema ni hatari kwa mwanamke kumpata first born wake akiwa kwenye 30's maana risk za kupata changamoto zinaongezeka.
 
Kuna wamezaa hata hadi 45.. wengine zaidi..na walizaa salama
Tuzidi kuomba na tukumbuke kila mtu na mwili wake na yake.. au pia kuombea changamoto zisitokee za makosa ya madaktari na wanaishia kusingizia umri wa mtu.
Mwanamke anazaa hata akiwa 50+! Kama ulivyosema, makosa ya madaktari na wauguzi, wanasingizia umri. Kwa wakati huu, mwanamke ataanza kuzaa akifika 35+ kumbuka
 
Yani nimepita hapa kilipokuwa kibanda chake jamani Roho imeniuma sana. Yani nilikuwa napaki gari hapa mbele na LAZMA tupeane salama MAANA sisi ndo maborn town wa chuga hii. Mungu atampokea na yule baba Mungu ampe huruma na wepesi amtunze mtoto
 
Mwanamke anazaa hata akiwa 50+! Kama ulivyosema, makosa ya madaktari na wauguzi, wanasingizia umri. Kwa wakati huu, mwanamke ataanza kuzaa akifika 35+ kumbuka
Sasa hapo madaktari na wauguzi wanaingiaje mkuu?

Kuzaa ukiwa na miaka 30-40 hamna tatizo kabisa na watu wanazaa vizuri tu, BUT uwe tu ulishaanza kuzaa ukiwa na miaka ya 20s.

Ila kama ndiyo mimba yako ya kwanza, na unakuja kuzaa ukiwa na 35+ yrs, hakika utawalaumu wahudumu wa afya buree kama complications zikihappen.
 
Kuna wamezaa hata hadi 45.. wengine zaidi..na walizaa salama
Tuzidi kuomba na tukumbuke kila mtu na mwili wake na yake.. au pia kuombea changamoto zisitokee za makosa ya madaktari na wanaishia kusingizia umri wa mtu.
Kuna wamezaa na 60+ mkuu, ila haiondoi ukweli kuwa kadri umri unavyosogea ndivyo risks zinavyoongezeka, complications za mimba, miscarriage, genetic abnormalities nk.

Kuna factors nyingine nyingi, ila umri mkubwa ni mojawapo na kama mtu anaweza ni bora atafute watoto btn 20-35. Mimi nimeona sunrise ya Vale ndio ikanijia akilini, huenda alikuwa na issues nyingine, hatujui.
 
Nadhani hawajakuelewa ,nchi zetu hizi za Africa ni hatari sana tena mnoo kuzaa ktk umri huo yaani mmepoteza rafiki yangu 2022 kimasikhara tu,she was 40 kama sikosei
 
Sasa hapo madaktari na wauguzi wanaingiaje mkuu?

Kuzaa ukiwa na miaka 30-40 hamna tatizo kabisa na watu wanazaa vizuri tu, BUT uwe tu ulishaanza kuzaa ukiwa na miaka ya 20s.

Ila kama ndiyo mimba yako ya kwanza, na unakuja kuzaa ukiwa na 35+ yrs, hakika utawalaumu wahudumu wa afya buree kama complications zikihappen.
Tatizo hapa JF, kila mtu mtaalam wa kila jambo. Nanyamaza
 
Poleni wafiwa na jf kwa ujumla.

Poor Brain nani anakujua humu, usijekata moto kwenye fumanizi huko halafu wadau wasijue.
Mkuu mimi humu Nina mama yangu Binti wa zamani
Nina kaka angu blood kabisa Manyanza
Humu nina classmate wangu moshathedoniaa

🤣🤣🤣🤣 Lakini pia katika kesi za kugombania mimama na mishangazi kuna huyu Vishu Mtata huyu anajua machimbo yangu yoote hata nikianguka lek jamni mbaneni huyu jamaaa maana ana wivu na mimi anaona nafaidi sana
 
Mwanangu pekee, Mungu akupe maisha marefu baba 🤗 isije tokea siku moja ikanilazimu nishushe uzi wa Tanzia.
 
Mimi. Sina maneno mengi ya kuandika ilaa nima huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭

Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.

Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.

Update:
Mazishi ni siku ya juma3, tarehe 27.
Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi Mpendwa wetu Valee. (Maghorofani) na baadae tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
Umeona sasa!! 😢😢😢
Poleni sana jamani! What happened to her?
Tumepiga sana story those days.
R.I.P
 
Kitambo alikuwa Mdau mkubwa sana wa MMU, na Chit-Chat kimtindo
Nilikuwa karibu naye sana! Miaka hiyo.
Nafikiri she was the only one who knows me.
Na alikuwa mdadisi sana.
Pumzika kwa Amani Valentina, Mourine sijui kama anafahamu kama umefariki, I will let her know.
Msiba ni balaa sana
 
Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭

Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi.

Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa.

Update:
Mazishi ni siku ya Jumatatu, tarehe 27.

Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani pale alipokuwa akiishi mpendwa wetu Valee, (Maghorofani) na baadaye tutaelekea Makaburi ya Njiro - Arusha kwa ajili ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya Milele.

Mwanga wa milele ukuangazie kipenzi chetu Valentina Upumzike Salama.

Forever in our Hearts 🕊️💔
Jamani😭😭😭
Rest well Dada Valentina

Ukarimu wako ,ucheshi tutaukumbuka sana.
 
Back
Top Bottom