TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

Which eternal peace kama mtu anazikwa na kuoza na kugeuka mchanga amani ipi unamtakia wewe

Again, the phrase "eternal peace" may mean different things to different people. It may mean nothing to some people. Ni kauli ambayo inaweza tumika kumaliza mazungumzo tu kwa baadhi ya watu. Wewe unayehusianisha kauli hii na maisha baada ya kifo ndo useme una maanisha nini kusema "eternal peace" inahusiana na amani unayodai anaweza ipata mtu ambaye ameshazikwa kuoza na kugeuka mchanga.
 
Bora umenambia kabla ya kuwekewa rip, asante babu nami nakupenda pia, kifo hakina huruma babu ni huzuni sana
Kajukuu kameondoka too soon. Nilikapenda kama navyokupenda. Usidedi pliiiiz....
 
Again, the phrase "eternal peace" may mean different things to different people. It may mean nothing to some people. Ni kauli ambayo inaweza tumika kumaliza mazungumzo tu kwa baadhi ya watu. Wewe unayehusianisha kauli hii na maisha baada ya kifo ndo useme una maanisha nini kusema "eternal peace" inahusiana na amani unayodai anaweza ipata mtu ambaye ameshazikwa kuoza na kugeuka mchanga.
Sawa tuambie wewe rest in peace yako Ina maana gani to the dead?
 
Back
Top Bottom