Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,212
- 80,121
Niahidi hutaniumiza hivi. Stay strong...Mbaya kutangulia babu, Pole kwa kajukuu kako jamani,😢😢
Tatizo letu tukichokozwa hatujui kuvumilia ila wengi hatuna roho za kukunjiana au uchoyo uchoyo,,
Umesamehewa na dhambi imefutwa mbinguni na dunianiHapana mkuu.
Nisamehe🙏🏽🌸
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽Umesamehewa na dhambi imefutwa mbinguni na duniani
Kipenzi hakikisha hudedi kabla yangu. Nimechoka kuumia namna hii jamani....
Huyu Mungu huyu.... dah
Babu unafanya nikose cha kuandika,, kifo kinatisha maana nikitizama nyuma,, baba ndg jamaa na marafiki walioondoka na sijawasikia tena,, huwa napata hali ya kukata tamaa,, unapozaliwa ujue kuna kufa pia,, hivyo ndivyo tutapitia wote tuliozaliwa na mwanamkeNiahidi hutaniumiza hivi. Stay strong...
I love my wajukuuz
'Babu kijana'.... unaleta masihara msibani? Umeshatubu dhambi zako zote?Yaani msiba unaumiza sana. Tuishi tu Babu kijana maisha yana mapigo makali sana
KweliSema kuna wawili watatu watakuwa hai, ila vikongwe.
Sina "rest in peace" yangu.Sawa tuambie wewe rest in peace yako Ina maana gani to the dead?
Si umesema "to others mean different" who are others?Sina "rest in peace" yangu.
Sina upande.Si umesema "to others mean different" who are others?
Wewe upo upande gani mbona hueleweki
Sasa unasemaje huyo alokimbia yupo sahihi huku ukiwa hujui rest in peace inamaanisha nini to the dead?Sina upande.
Sasa unasemaje huyo alokimbia yupo sahihi huku ukiwa hujui rest in peace inamaanisha nini to the dead?
Nipo babu, mapambano tu duniani yanazidi tuna adimika.Doh... mjukuu ulipotelea wapi? Babu kakumisi kweli. Nafurahi kuona uko poa. Please jipange usidedi kabla yangu. Nimechoka kuumia.....
Babu loves you
Which thing do "rest in peace" mean to you?Rest in peace means different things to different people you dumbass!
Ungenyamaza tu mkuu, kuna mengi hauyajui.Mwanamke akivuka miaka 30 hajapata mtoto wa kwanza possibility ya kupata complications kwenye mimba yake ya kwanza inaongezeka. Above 35 hajapata mtoto wa kwanza ni hatari zaidi maana uzee ushaanza kuingia mifupa ya nyonga imeshaanza kujibana. Isitoshe cardiovascular issues, presha na magonjwa mengine yanakuwa yako kwenye onset tayari.
Inashauriwa sana mwanamke above 30 na hasa 35 mimba yake ya kwanza awe chini ya uangalizi mzuri wa madaktari; ikibidi afanyiwe hata induced labor under controlled conditions - hasa mwenye hali kama ya marehemu.
Anyway, apumzike salama. Na nyie wanawake mama zetu. Mungu Awabariki sana. You go through hell kutuletea hivi vitoto vyetu. We love and respect you dearly.
RIP Valentina 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Haswaa sisi wenye umri wa miaka 40 huko,tunakufa sanaaKumbe amefariki kutokana na changamoto za uzazi 💔
Hizi complications zimekuwa sugu Kwa Nchi zetu za Daraja la Tatu 🙌
Ukiona mkeo ameingia "Leba" na kukuletea zawadi ya mtoto, ni jambo la kumshukuru sana Mola
Suala la kuendelea kuboresha mazingira ya kujifungulia ya Mama na Mtoto, tunapaswa kama Taifa kuliangalia kwa jicho la pekee sana
Otherwise, tutaendelea kuwapoteza Wake zetu/Mama/Dada zetu wakati wa Uzazi
Mungu amrehemu 🙏🙏🙏
Ni kweli. Mengi nisiyoyajua siyajui lakini hilo halinizuii kusema nilijualo! Na langu lilikuwa ni angalizo tu la jumla. Samahani kama nimekukwaza...na nimeshanyamaza.Ungenyamaza tu mkuu, kuna mengi hauyajui.