ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,352
- 118,706
Akijuana na marehemu nje ya jf unaumia wapi?Chai.
Mtu mwenye uchungu hawezi kuandika gazeti lote hili.
Hapa umeandika upate attention kwamba na wewe unajuana na marehemu nje ya JF.
Acheni watu waonyeshe hisia zao namna walivyomfahamu marehemu.