Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

dah poleni wadada wa mjini.......sijui mahitaji itakuwaje sasa
 
Mkuu the BiG BOSS ni nani huyo?

Mkuu naogopa BAN, sheria za JF ni kama ishu ya muungano, ukihoji article ya muungano ipo wapi, hawachelewi kukufungulia kesi ya uhaini...
 
Samahani mkuu... Mie sijacheka mtu kufariki... Bali nimecheka hii kauli ya KakaJambazi
"Nini maana ya kuwa na hela au mamlaka sasa,
iwapo tunakufa hata tukipelekwa India?"

Kitendo cha kuomba msamaha, umeonyesha ukomavu wa kifikra. Hongera sana mkuu Charminglady.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kitendo cha kuomba msamaha, umeonyesha ukomavu wa kifikra. Hongera sana mkuu Charminglady.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Shukrani.. Naona aliniqoute vibaya....!!
 
Mzee Baguma mwenye hizi hotel za JB Belmont Dar (Benjamin Mkapa Tower) posta mpya na ya Mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake Hotelini Dar.

Duh poleni sana; Bi. Senti 50 jamani nimekutafuta; imepita miaka mingi sasa...
 
Msiba na presha za mjini kazi kweli kweli. Kwa wale dada zetu wenye kutoka life fasta fasta sijui watacheka, sijui watalia. Ninayo listi ya dada zetu hao. Naanza Na H na wapili A

Dah na yule wa HR pale JB Monte ya Benjamini Mkapa hadi aliamua kumuweka signatory itakuwaje? Watu walipompasha dada kuwa makini maana mzee nywele zilishakuwa nyepesi akaona wanamuonea wivu!!!! Chupu chupu watu wakose kibarua pale!!! Fundisho akina dada hawa wanaume wenye hela wana tabu zao!!! Ukitaka hela ya haraka kwa herani ya maisha yako halafu usiwezu kuitumia itakusaidia nini? Imagine Baguma mwenyewe na hela zake lakini hakuweza kufua dafu kwa hili!!! Wanabadili damu lakini wapi?!!!!!!!!
 
pole dada hr, kazi ya mungu aina makosa. Ila kifo kinatukumbusha kumtegemea mungu na si mwanadamu

Mku Msandawe Halisi, kweli nakuaminia!!! Mambo ya dada HR Mchaga unayajua pia? Aise hadi jamaaa kampandisha hadi kuwa signatory kwa upande wa Dar es Salaam ikiwa yeye yupo Mwanza au safarini? Kweli hii kitu K ni hatari sana!!! Na wadada kwa kutaka maisha soft wanagharimu maisha yao!! Kujilipua kwa kwenda mbele.
 
Heart attack hii, watu hatujui na hata ikitokea kwa rafiki yako hutajua cha kufanya. Tatizo nchi yetu haina mitaala as a result hatuwezi hata kufanya emergency resuscitation
 
pesa kitu gani bwana. Hata Mengi atafariki. Mimi nitakufa na wewe unayesoma hii comment yangu lazima utakufa either wakati unaisoma au mara tu umalizapo au masaa, siku, wiki, miezi, miaka michache au mingi baada ya kuisoma hii comment yangu.

Mche mola wako kama unaamini niliyoyaandika
 
mwanakijiji amefurahi kweli kweli...maana kuna kauzi alianzisha kuhusu huyu jamaa,nadhani this time atapata info za kutosha
 
Dah huyu jamaa alikua hataki mchezo pale ofisni kwake ila alikua weak kwa wanawake alikua anatembea na hr wake anaitwa lydia familia yake iko uk watoto wa5 wakubwa tu na last tym walikua tz na mama yao, alikua anaishi hotelini hajawahi kukaa out of hotel pia na uyo lydia alikua anakaa nae humo hotelin duh sijui familia yake itaaambulia nn make pia kulikua na mwanamke alikua kazaa nae mbezi beach yaaan ni balaa jinsi ya kukusanya hizi mali alizoaacha maduka kumalizia mikataba ya hizi hotel na restaurant watu watajitoajeeeeeee..... Ama kweli kufa ni mwishooo wa mbwembwe

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mhubiri 1:2-3
"Mhubiri asema,
Ubatili mtupu, ubatili mtupu
mambo yote ni ubatili.
Mtu ana faida gani ya kazi yake yote afanyayo chini ya jua?"
Alala Panapostahili
 
Back
Top Bottom