Hizi ndizo habari zilizopo hapa msibani Quality.
Mwanakijiji aliwahi kuanzisha. Shredi humu kuulizia connections alizonazo huyu Jamaaa hapa Tanzania lakini siioni.
Je kuna jambo mwanakijiji analujua ambalo sisi hatulijui?
Ndugu unaonaje ukitumia fursa hii kutuelimisha tusiojua jambo hili? Tafadhari! Tukisoma hapa twaweza saidia wengine[/QU wa mndongu vangu,we myangu wa koki,ne wa kundongosi.
teh teh teh! Hivi kwani kufa mpaka uuliwe?
Kwani kifo chake kina uhusiano gani na pesa zake?
karibuni tu nilipata chakula hotelin kwake mwanza
inauma sana kusikia kifo cha mtu uliyemfahamu
RIP mr baguma ntakukumbuka sana ulivyokuwa ukinitania kuwa hutofanya kaz nami ikiwa cjanyoa ndevu(hapend ndevu cjui kwa nn)
samahani lakini!karibuni tu nilipata chakula hotelin kwake mwanza
inauma sana kusikia kifo cha mtu uliyemfahamu
RIP mr baguma ntakukumbuka sana ulivyokuwa ukinitania kuwa hutofanya kaz nami ikiwa cjanyoa ndevu(hapend ndevu cjui kwa nn)
BT nini lakini?kwenye hii picha yako..... Hiyo napkin ulivyoiweka umenikumbusha mbali....mtoto mdogo unamweka hivyo ili asimwagikiwe na uji....
Yaani umejifunika kabisa utadhani shuka.....
BT nini lakini?
yani mweh!mi mwenyewe hoi hapa jamani!
mpaka nasahahu kutoa R.I.P
ah!