Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Bi. Senti 50 .. kuna thread ililetwa hapa JF na Mzee Mwanakijiji kuhusu huyu jamaa ... uliiona?


Link: JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

CC: Mzee Mwanakijiji

Baadhi ya Quotes

Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?

Namfahamu kama Mmiliki wa CHICKEN HUT (MLIMANI CITY) kuanzia mwaka 2008, katika mazungumzo yetu alikuwa akijifagilia kama yeye ana pesa na yupo karibu sana na familia ya kwanza Tanzania, akidai anajenga Beach Hotel Bagamoyo, Hotel/Restaurant nyingine pale Africana.

SIKUAMINI SANA KWANI NILIONA NI SOUND TU! Baada ya kufunguliwa kwa QUALITY CENTRE! YAMETIMIA! Ana Restaurant/Ukumbi wa Disco (Savannah) Maduka makubwa matatu achilia mbali JB BELMONT iliyopo BW. Mkapa Towers.

Ninachompendea yupo down to earth!

Mzee mwnakijiji siku hizi mapolisi ndio wanatoa permit na kila mwezi lazima wakachukue mishahara kwa wahusika mfano huko kwenye maviwanda kuna michina na wahindi wamejificha humo lakini cha kushangaza polisiccm wakiingia humo wanatoka wakiwa wanacheka Huku mifuko imetuna. Labda JB ni Kati ya watunisha mifuko ya polisiccm

Mzee Mwanakijiji,

Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.

He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....

JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre

Mzee Mwanakijiji,

Kwa ufupi huyu bwana ni mganda na alikuwa mwanajeshi wakatofautiana na Museveni akaja hapa Tanzania na kuishi kwa muda na badaye alikwenda Ulaya akafanya biashara zake mambo hayakwenda sawa na akarudi tena Tanzania na ndipo akapata mwanamke wa kihaya akamuoa na ndiye wanaye mpaka sasa.

Ana pesa nyingi sana ni mfanya biashara, hizi hbr ni kutoka kwa mtu wa ndani ya familia, na huo ndo ukweli

Mimi simfahamu huyu. Bali napenda kukumbusha Mwanakijiji kuwa baada ya kukusanya taarifa uwe unatupa hitimisho. Nadhani unakumbuka juu swali kama hili juu ya yule Mfanyabiashara Maarufu wa Morogoro.

Tupe hitimisho lako kuhusu huyo mtu kama ni hatari kwa Taifa au la na pendekeza tufanye nini.

Pia kuna siku ulituonya juu ya kutumia aina fulani ya mtandao wa simu (provider) nchini (nadhani Voda?) lakini hutueleza shida ni nini. Kama great thinker naomba niwe naelezwa hitimisho ya mada kama hizo vinginevyo basi hatuna haja ya kukuna vichwa kumpa mtu taarifa halafu hatuelewi mwisho hizo taarifa ni za utafiti wa nini kwa ajili ya nani na sisi kubaki katika suspense!

Chonde chonde mwishoni nataka kuona setenso kama vile:

JB ni mnyonya damu watu hivyo kaeni kwa umakini au muepukeni au
JB ni mgeni mfanyabiashara asiye na mawaa kama tulivyofikiri n.k :smash:

Hiyo hii ndiyo inamilikiwa na Justus Baguma,
JB HOSPITALITY LIMITED

JB ndiyo anayeendesha Bar zote katika hoteli za Paradise. Hoteli za Paradise zinamilikiwa na wasomali ambao huwa hawauzi pombe kwa hiyo waliingia makubaliano na JB kuendesha migahawa itakayo kuwa inauza pombe kwenye hoteli zote zinzzomilikiwa na Paradise na East Africa hotel, migahawa hiyo huitwa SAVANNAH.

Siku za karibuni JB ameuziwa Paradise Hotel iliyokuwa Mkapa Tower na kuibadili jina kuuita JB Belmont. Pia amefungua chain of businesses pale Quality Centre.

Ameishi na kusoma UK, London kwa muda mrefu alikuwa na biashara zake huko kabla ya kuja Tz na kufungua Chicken Hut.

Nachokumbuka mimi siku moja nilikuwa Savannah nikiwa narafiki yangu Doctor tukiwa tumekaa pembeni ya meza aliyokuwa amekaa, nikamuonyesha rafiki yangu mmiliki wa Savannah naye pale plae alisema huyo jamaa naye muonyesha ni mgonjwa kwa kumuangalia tu, nilishangaaa kwa comment yake hiyo ila yeye alisisitiza jamaa atakuwa kaathirika na kuniuliza kama toka nimemfahamu nimewahi kumuona na nywele ndefu zaidi ya kipara kitu ambacho sikuweza kuthibitisha.

Siyajui mabaya yake all i can say huyu jamaa ni mfanyabiashara mkubwa anayekuja kwa kasi Tanzania.

Ni agent wa M7.
 
17530_605233416159956_1045942161_n.jpg


Habari za kuaminika zilitufikia hivi punde ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale quality centre na kumbi za mikutano, bwana Justus Baguma (JB) amefariki dunia.

May he Rest In Peace
 
kweli kaondoka, ana maduka matatu hapa quality centre, wameyafunga yooote xa xa hivi wakati asubuhi yaikuwa wazi. dah
RIP MZEE
 
mimi hata simjui ila najua hivyo vinavyomilikiwa naye. R.I.P J.B
 
Duh,huyu jamaa si tulikuwa tunamdiscuss kwenye thread ya mwanakijiji miezi michache iliyopita?duh!kweli sie majani tu!
 
Where is mtoa mada for additional informations??? :nimekataa
 
Ni kweli amekufa na mipango tayari imeshaanza!!! Kuna ndugu yangu amepata tenda ya decoration tukio zima.
 
Back
Top Bottom