Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Nasikia hii hotel inatoa watu mhanga si ni hotel ya maomali?
Alikuwa peke yake bila mwenzie hotelini? Mungu ailaze roho yake pale inapostahili.
duuuh kumbe tungenufaika eeh?Tunawapa pole wafiwa wote na Waganda wote.Japo musaba sijui kama atauzunika maana JB aliwahi kuwa waziri wa fedha na walitibuana na musaba ndo maana akakimbilia kuishi uingereza na familia yake.Inasemekana aliimaliza serikali ua musaba kwa kuchota trilioni tatu alipokuwa waziri wa fedha.Aliwekeza uingereza na akanza kuwekeza kwenye miradi apa Tz.kiukweli hata robo ya fedha zake alizokwiba kwa msaba bado hajazitumia.
R.I.P JB
Duh juzi tu hapa nilimuona hapa Hotelini kwake JB Mwanza........kweli kifo hakina huruma
RIP
alikuwa peke yake bila mwenzie hotelini? Mungu ailaze roho yake pale inapostahili.
Hizi taarifa ni za uhakika kweli! Hata mimi nimepata taarifa hizo kutoka kwenye source ninayoiamini sana!Wewe uliyeleta habari hii una uhakika?
naona hapa yuko na mstahiki meya...wa kinohuyo kushoto
![]()
Alikuwa anaomba list ya mademu wakali wa kinonaona hapa yuko na mstahiki meya...wa kino
mzee baguma mwenye hizi hotel za jb belmont dar (benjamin mkapa tower) posta mpya na ya mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake hotelini dar.
Zile hotel sio za city garden zamani ndo ilikiwa inamililiwa na city garden wakauza kwa JB. JB anamiliki Chirken hut,Savana longue Benjamini mkapa,Lemon tree restaurant quality plaza ,Savana longue quality plaza na ile bar pale tabata shule.
...hahahahahahaha...duh...Alikuwa anaomba list ya mademu wakali wa kino
ndio na sikujua alitaka kutuambia nini juu ya huyu bwana!Mzee Mwanakijiji alichokonoa alafu akateleza hadi leo!!!