Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Dah na yule wa HR pale JB Monte ya Benjamini Mkapa hadi aliamua kumuweka signatory itakuwaje? Watu walipompasha dada kuwa makini maana mzee nywele zilishakuwa nyepesi akaona wanamuonea wivu!!!! Chupu chupu watu wakose kibarua pale!!! Fundisho akina dada hawa wanaume wenye hela wana tabu zao!!! Ukitaka hela ya haraka kwa herani ya maisha yako halafu usiwezu kuitumia itakusaidia nini? Imagine Baguma mwenyewe na hela zake lakini hakuweza kufua dafu kwa hili!!! Wanabadili damu lakini wapi?!!!!!!!!

Kwani kifo chake kina uhusiano gani na pesa zake?
 
Pole mwekezaji wetu na ndugu yetu!ukapumzike kwa amani!
 
Kifo chake ni natural kweli? Kutokana na chimbachimba ya Mwanakijiji nashawishika kusema huyu jamaa alikuwa ni kibaraka wa Museven katika kutimiza ndoto ya Bahima Empire. Naona kashitukiwa kisha akanyamazishwa. Si bure
 
Kwan huyu jamaa alikuwa kabila gani? Muhaya au Mganda? Coz huwa anaonea english ya kihaya.
 
pesa kitu gani bwana. Hata Mengi atafariki. Mimi nitakufa na wewe unayesoma hii comment yangu lazima utakufa either wakati unaisoma au mara tu umalizapo au masaa, siku, wiki, miezi, miaka michache au mingi baada ya kuisoma hii comment yangu.

Mche mola wako kama unaamini niliyoyaandika

nilipofika kweny lazma utakufj aiza wkt unasoma au!!nimekimbia sana
 
Duh poleni sana; Bi. Senti 50 jamani nimekutafuta; imepita miaka mingi sasa...

Yaani we acha tu! This Man was a gentleman, ninamfahamu kwa karibu sana na ninasikitika watu wakileta maneno maneno. Ameshafariki na hawezi kujibu mwenyewe lakini tunao mjua he had nothing na HR manager au mfanyakazi yeyote pale, what he did aliwapa uhuru ma managers wake wajiendeshe na hii ndio itawasaidia kuiendeleza JB BELMONT HOTELS hata Kama kayupo. Huyu bwana alikuwa na roho yake ya kipekee. Naomba mtuache tuomboleze kwa amani maana we are still in a shock.
Best mwanakijiji ni inbox na nos Zangu si unazo?? Happy new year anyway!
 
Dah na yule wa HR pale JB Monte ya Benjamini Mkapa hadi aliamua kumuweka signatory itakuwaje? Watu walipompasha dada kuwa makini maana mzee nywele zilishakuwa nyepesi akaona wanamuonea wivu!!!! Chupu chupu watu wakose kibarua pale!!! Fundisho akina dada hawa wanaume wenye hela wana tabu zao!!! Ukitaka hela ya haraka kwa herani ya maisha yako halafu usiwezu kuitumia itakusaidia nini? Imagine Baguma mwenyewe na hela zake lakini hakuweza kufua dafu kwa hili!!! Wanabadili damu lakini wapi?!!!!!!!!

muulize huyo kwamtoro Hao H na A ni kina nani? Ajaribu kuweka na initial za ubini basi.
 
Heart attack hii, watu hatujui na hata ikitokea kwa rafiki yako hutajua cha kufanya. Tatizo nchi yetu haina mitaala as a result hatuwezi hata kufanya emergency resuscitation

Ndugu unaonaje ukitumia fursa hii kutuelimisha tusiojua jambo hili? Tafadhari! Tukisoma hapa twaweza saidia wengine
 
Hizi ndizo habari zilizopo hapa msibani Quality.

Mwanakijiji aliwahi kuanzisha thread kuulizia connections alizonazo huyu Jamaaa hapa Tanzania lakini siioni.

Je kuna jambo mwanakijiji analijua ambalo sisi hatulijui?
 
Hizi ndizo habari zilizopo hapa msibani Quality.

Mwanakijiji aliwahi kuanzisha. Shredi humu kuulizia connections alizonazo huyu Jamaaa hapa Tanzania lakini siioni.

Je kuna jambo mwanakijiji analujua ambalo sisi hatulijui?

acheni apumnzike kwa amani jamani, presha ilimzidi uwezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom