Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

Rest In Peace Mr Baguma of JB Belmont

His photo.
6231929.jpg
 
Kila nafsi itaonja umauti.
Mwenyezi Mungu amlaze panapostahili.
 
RIP JB,
Mungu asaidie ndg wasitapanye mali, ili ziwasaidie mjane/wajane na watoto!
 
Hapo tuone succession plan kwa mwafrika ilivyo ngumu!natoa mwaka mmoja tu,lazima tuone mabadiliko kwenye biashara zake!
 
Habari za kuaminika zilitufikia..ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale qlty centre na kumbi za mikutano, bwana JB amefariki dunia.

May he Rest In Peace

Kwani hii nayo ni habari ya kisiasa??
 
ni nani huyo? wengine hatujui what's JB stands for...
 
Habari za kuaminika zilitufikia..ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale qlty centre na kumbi za mikutano, bwana JB amefariki dunia.

May he Rest In Peace

Mkuu nini chanzo cha kifo cha marehemu?
 
Habari za kuaminika zilitufikia..ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale qlty centre na kumbi za mikutano, bwana JB amefariki dunia.

May he Rest In Peace

Kifo ni kiboko hata uendeshe ndege/gari/meli mwisho wa siku utabebwa tu katika jeneza,R.I.P JB.
 
mzee baguma mwenye hizi hotel za jb belmont dar (benjamin mkapa tower) posta mpya na ya mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake hotelini dar.

poleni sana wafiwa na wafanyakazi wote wa hotel hii. Nimepita sehemu nje ya hotel yake asubuhi kwwnye saa 3 niakakanyaga ile capeti yake red kwa nje wakati napishana na watu wengine. Kumbe ndio muda huo amepoteza uhai wake? Jamana tumtegemee mungu na kumpenda kila wkati maana yeye ndiye ameshilkilia uhai wetu.
Wenye mali na tusiokuwa na mali wote njia yetu ni moja
 
Habari za kuaminika
zilitufikia..ni kwamba mmiliki wa hoteli ya JB Belmonte, Ambassador
Club, Savannah Lounge, maduka ya kutosha pale qlty centre na kumbi za
mikutano, bwana JB amefariki dunia.

May he Rest In Peace

Inamaana vidonge vya ARV vimeshindwa kufanya kazi, au alitumia vile vidonge FEKI vya madabida. By the way, angekuwa anabadili damu, mbona the BIG BOSS anadunda mpaka leo?
 
Inamaana vidonge vya ARV vimeshindwa kufanya kazi, au alitumia vile vidonge FEKI vya madabida. By the way, angekuwa anabadili damu, mbona the BIG BOSS anadunda mpaka leo?

Mkuu the BiG BOSS ni nani huyo?
 
Mzee Baguma mwenye hizi hotel za JB Belmont Dar (Benjamin Mkapa Tower) posta mpya na ya Mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa. Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake Hotelini Dar.
ile hotel sinasikia ni ya wasomali wamiliki city garden ! RIP BAGUMA aka MSOMALIA
 
Tunawapa pole wafiwa wote na Waganda wote.Japo musaba sijui kama atauzunika maana JB aliwahi kuwa waziri wa fedha na walitibuana na musaba ndo maana akakimbilia kuishi uingereza na familia yake.Inasemekana aliimaliza serikali ua musaba kwa kuchota trilioni tatu alipokuwa waziri wa fedha.Aliwekeza uingereza na akanza kuwekeza kwenye miradi apa Tz.kiukweli hata robo ya fedha zake alizokwiba kwa msaba bado hajazitumia.
R.I.P JB
 
Back
Top Bottom