Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,557
- 1,169
Nchi hii kifaa ni Gaston Msingwa.BBC wabebe jembe hilo.Nasikia hata watangazaji wenzake pale TBC huwa wanamuonea wivu ndiyo maana hawaki awe makao makuu, eti atawafunika.
Mimi taarifa ya habari ya TBC huwa naangali kwa ajili yake tu.
Nashangaa kwa watangazaji wengine hawaigi.
Hili jamaa huwaga limejichimbia songea kama sikosei