Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Nimekuwa nikijiuliza nini kinafanya Mtangazaji Bora kabisa kama huyu asipae kimataifa? Nadhani sasa swali langu limepata jibu. Namkubali zaidi ya sana, hasa katika kukuza lugha ya kiswahili na matumizi fasaha ya lugha hiyo....
Kaitangaze Tanzania Mama, Kaikuze Lugha yetu adhimu ya Kiswahili Kimataifa....Kila la heri
CHUKUA 100000 hili suala hata mimi lilinitatiza .