Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Ni kweli mkuu, nadhani wanaodhani REDIO ONE ndiyo ilinayopaswa kushukuriwa watakuwa wanakosea sana. Nakumbuka sana enzi zile yuko na Wakina Rozi Mdami, Tom Chilala na yule Padri Mfaransa (Mzee wa kipindi cha Kahawa au Chai) ambaye aliondoka nchini....si mchezo aisee.....

Yule padri alikuwa ananifurahisha sana, Radio tumaini mpaka leo bado wanatumia vocal yake katika vipindi vyao.

"Kahawa au chai.?, siku njema " Hapa na pale, my best kipindi..
 
Bado LITA CHIWALO wa wapo fm.. nayeye size yake BBC

asante sana kumbe kweli unawaona watangazaji bora nakubaliana na wewe moja kwa moja kwamba Lita ni miongoni mwa watangazaji wachache wenye kuijua kazi ya utangazaji vema
 
of course kwa clouds walikuwa wanambemenda tu, hakustahili kuwepo pale hata punje!
 
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!

Sifa zianzie Radio Tumaini then radio one malizia Clouds.
 
Yule padri alikuwa ananifurahisha sana, Radio tumaini mpaka leo bado wanatumia vocal yake katika vipindi vyao.

"Kahawa au chai.?, siku njema " Hapa na pale, my best kipindi..
Kumbusha mimi mbali sana mkuu. Siku njema
 
Bado Millard Ayo, nadhani nae atafika mbali, inshallah.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Kuna yule mtangazaji wa Star TV,katika kile kipindi cha Leo katika Historia, sijui anaitwa nani vile. Jamaa anasauti safi sana ya utangazaji.
 
Hilo swali hata mie nilijiuliza sana, hasa baada ya kuondoka radio 1 na kwenda Clouds. Kwa kariba ya huyu dada hakutakiwa kwenda redio ya udaku. Ilitakiwa atoke redio 1 moja kwa moja hadi BBC, kama walivyokuwa wengine akina Flora Nducha, Abdalla Majura, Kikeke n.k.

Mkuu, kama ipo ipo tu, kuna kijana alikua anaitwa Abdul Mohamed kama sijakosea, alikua anatangaza Sport Bar na sports extra hapohapo clouds media mbona naye yupo BBC Kiswahili upande wa redio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom