Ni mtangazaji mahiri, anaongea kwa ufasaha sana na madaha makubwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili... na huko anakoenda, BBC idhaa ya Kiswahili ndipo atang'aa zaidi. Bravo Regina, Bravo Radio One, Bravo BBC...hapo katikati alikuwa kapotea njia tu....
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!
Aliibuliwa Redio Tumaini kaka kisha hizo redio nyingine
kwani kiboon naye ni mtangazaji?
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!
Jamani naisi redio Tumaini ndio waliomwibua
kwani kiboon naye ni mtangazaji?
she was waaay better than clouds... radio ya yossoAsanteni BBC LONDON kwa kumchukua REGINA MWALEKWA aje kufanya kazi nanyi...
Ameaga rasmi famila ya hapa nyumbani kupitia PowerBreakfast.
Regina alifanya kazi
kwa muda mrefu redio tumaini kabla ya kwenda radio one
Hii ni baraka kwa BBC.hatutegemei kuletewa habari ya madudu ya jinsia moja
Ukipata jibu unambie tafazali....:A S wink: