kajifunze kwanza uandishi ndo urudi.
Anaanza Kazi BBC Siku chache zijazo.
Nadhani kati ya watangazaji wenye vipaji na sauti waliobaki kwenye hiyo radio ambao wanaweza kutangaza international level ni Maestro pekee,
Mtakuwa mapacha, naona ualaza huo mule mule...Samadu hassan
From Tumaini radio-Radio one-Clouds Media-BBChongera mwaya from radio tumaini - claus - bbc sio nchezo'