Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Huyo dada alikua anajiita rc computer aisee namkubali sana na aliwahi kusimulia stori ya Karen na Jons yaani niliburudika sana. Sijui kwa sasa yuko wapi huyu mama?

Enzi za Rose Chitallah na Flora Nducha!
 
Bourgeoisie Mwalekwa hajawahi kufanya kazi rfa utakuwa umechanganya na radio tumaini. Alipotokq tumaini alihamiq radio uhuru akafanya kazi na akina abubakar liongo na masoud masoud kisha ndio akahamia radio one then clouds

Uko sahihi mkuu: Radio Tumain- Uhuru FM( Radio Uhuru wakati ule)-Radio One Stereo( IPP Media)- Clouds Media( Clouds FM&TV)- BBC Swahili Service( nadhani studio za Dar es Salaam kwa sasa na akin Baruan Muhuza, John Solombie, Erick David Nampesya; nadhani hayuko London-Bush House kwa sasa na siyo studio za Nairobi) ! Hongera dada yetu Reggie Mziwanda( Mwalekwa)!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom