...hakika wanena vyema...Hongera nawajuwa yeye na mumewe ni watu wenye Hofu ya Mungu na wapo imara kwenye Sala
Kama sikosei (I stand to be corrected) alipitia Radio Tumaini kabla ya kwenda Radio One...Amekaa sana Radio Tumaini ambako alijijengea sifa ambayo ilipelekea Radio One wakamuona...Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!
huyu mama anakubalika sana pia aishukuru sana radio one ndiyo iliyomtoa huko clouds alikuwa amepotea kabisa shimoni
Ni kweli...amesoma alama za nyakati. Kule alikuwa hafiti kabisa, katikati ya vijana wavaa milegezo kule alionekana kama aliyepitwa na wakati kumbe bado dunia inamuhitajiBora ameachana na redio ambayo imejaa makanjanja na vishoka. Nilianza kumdharau na yeye wakati ni mchapakazi!!!!!!
Kama wamemchukuwa huyu dada anatakiwa amshukuru sana mwavile wa radio one
Yeye ndio alikuza kipaji cha mwalekwa kabla clouds hawajatia fitina na kumchukuwa!
huyu mama anakubalika sana pia aishukuru sana radio one ndiyo iliyomtoa huko clouds alikuwa amepotea kabisa shimoni
Hongera nawajuwa yeye na mumewe ni watu wenye Hofu ya Mungu na wapo imara kwenye Sala
Kwa kiwango cha elimu na uelewa wake ngoja tusubiri labda BBC wakianzisha redio ya Udaku itamfaa...Nani kasema Regina hatokei clouds? Kibonde panamtosha hapohapo...bbc patampwaya
hongera mno...clauz walikuwa wanaua kipaji chako.
Ni kweli mkuu, nadhani wanaodhani REDIO ONE ndiyo ilinayopaswa kushukuriwa watakuwa wanakosea sana. Nakumbuka sana enzi zile yuko na Wakina Rozi Mdami, Tom Chilala na yule Padri Mfaransa (Mzee wa kipindi cha Kahawa au Chai) ambaye aliondoka nchini....si mchezo aisee.....Nyie huyu mmeanza kumsikiliza leo nini.? Regina mwalekwa alianzia kutangaza radio tumani, na wakina tom chilala. Hao radio one walimchukua toka radio tumaini, na amesave radio tumaini kwa kirefu kuliko vituo vyote hivyo vilivyobaki.
Eti alipofika wakampa kipindi cha Jahazi hapo akapoteana kabisa wakamtoa kisiasa...
Eti alipofika wakampa kipindi cha Jahazi hapo akapoteana kabisa wakamtoa kisiasa...
Lasivyo wangempiga majungu tu...Mara ya Kwanza kumsikia Mawingu nikajua labda ameshuka kiwango, Mawingu uliwazidi sana ilibidi upunguze baadhi ya vitu ili uendane nao.!!
Ni kweli kabisa mkuu....Kama sikosei (I stand to be corrected) alipitia Radio Tumaini kabla ya kwenda Radio One...Amekaa sana Radio Tumaini ambako alijijengea sifa ambayo ilipelekea Radio One wakamuona...
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!