Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

Regina alivyokua clouds ni sawa sawa na Messi achezee stoke city wakati co levo yake,hongera kwa kwenda bbc.
 
Aliibuliwa na Redio Tumaini sio Radio one just to put records corrected
hakuna anayepinga kuwa aliibuliwa na Redio tumaini lakini redio one zaidi na zaidi kuliko wasikilizaji aliokuwa nao tumaini
 
  • Thanks
Reactions: ram
Nyie huyu mmeanza kumsikiliza leo nini.? Regina mwalekwa alianzia kutangaza radio tumani, na wakina tom chilala. Hao radio one walimchukua toka radio tumaini, na amesave radio tumaini kwa kirefu kuliko vituo vyote hivyo vilivyobaki.
ndoo maana tunasema redio one imemfanya afahamike zaidi kwani ina wasikilizaji wengi kuliko Tumaini
 
kama siamini vile, hakika Mungu ni mwema. Regina anastahili kabisa kwenda kituo kama BBC. namkubali sana kwa utumiaji fasaha wa lugha ya kiswahili. kila la kheri dada Regina Mwalekwa.
 
Kama Ni Kweli Basi BBC Wamepata Jembe Kwani Dada Huyo Ana Karibia Sifa Zote Kuu Na Muhimu Za Mtangazaji Na Mwandishi Wa Habari. Sina Shaka Nae Na Hata Rekodi Yake Ni Nzuri. Binafsi Namtakia Kila La Kheri Huko Uingereza Aendako. Sifa Ziende Kwa Redio One Waliomwibua Kisha Clouds FM Kwa Kumtengeneza Na Kumsafishia Njia Ya Mafanikio. Hongera Na Heko Zako Dada Regie....................!


Regina alifanya kazi

kwa muda mrefu redio tumaini kabla ya kwenda radio one
 
First they ignore you,
Then they laugh at you,
Then they fight you,
Then you WIN
MUNGU akuongeze dada
 
Nilim miss sana tangu ahame radio 1,clouds huwa sisikilizi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nimekuwa nikijiuliza nini kinafanya Mtangazaji Bora kabisa kama huyu asipae kimataifa? Nadhani sasa swali langu limepata jibu. Namkubali zaidi ya sana, hasa katika kukuza lugha ya kiswahili na matumizi fasaha ya lugha hiyo....

Kaitangaze Tanzania Mama, Kaikuze Lugha yetu adhimu ya Kiswahili Kimataifa....Kila la heri

binafsi nilikua najiuliza km ww,na alipoenda kule nanilii,nikajiuliza kule atatangaza nn???,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom