Simba ndiyo inaifanya ligi ya NBC msimu huu chini ya tff ya karia kuwa ‘most corrupted league’ kwenye sayari hii na sijui ni kwanini NBC wamejiingiza kudhamini wizi na ifisadi kama huu,
Hv kweli mnatoaga point kwa kufikiria au mapenz ya timu. Nafikiri tujaribu kufikiria jinsi ya kuwekeza tupate marefa wenye afadhali coz ht huko ulaya wenya akili na mafanikio kuliko sisi waliliona Hilo ndio maana wakaamua kuja na VAR.
 
Kapombe hakuguswa wala kusukumwa kwa marudio yalivyooneshwa na Azam TV, alijiangusha na hakugusana na mchezaji wa GGM. Pia mchezaji wa GGM hakuotea kwani Kapombe alikuwa katikati ya kipa na mchezaji wa GGM.
Haya huyo hapo anamsukuma kabla ya mpira kumfikia.
Screenshot_20211202-220054_Instagram.jpg
 
Hapo simba anakua amezidiwa point 3

Hesabu ya wapi hiyo Mkuu? Tofauti ya sasa ni point mbili tu,assume kwa hiyo scenario Simba angetoa sare maana yake angekuwa na point 16, Yanga angepoteza kwa Namungo angekuwa na point 16 pia.Hapo tofauti ingekuwa ni magoal tu.
 
Yanga=Michezo 6x3 =18
Kapoteza point 3 tu mchezo wa saba, ambapo angeshinda mechi zote 7 angekuwa na point 21.

Simba=michezo 4x3 =12
Michezo 3 katoa sare 1x3 =3
Jumla =12+3=15 (kapoteza point 6) ambapo angeshinda mechi zote 7 angekua na point 21.
Jumla : yanga angekua na point 18
simba angekua na point 15
Tofauti point 3.

Sawa ndugu mwanasimba?
 
Hesabu ya wapi hiyo Mkuu? Tofauti ya sasa ni point mbili tu,assume kwa hiyo scenario Simba angetoa sare maana yake angekuwa na point 16, Yanga angepoteza kwa Namungo angekuwa na point 16 pia.Hapo tofauti ingekuwa ni magoal tu.
Mkuu hata kuhesabu vijiti huwezi?
 
Back
Top Bottom