Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Ila watimanywa nimegundua ana upeo mkubwa pia na exposure. Sikutarajia kama angejibu vile,achilia mbali kizungu.
 
huyu Lucy Tomeka nae yupo kwenye chance nzuri........
 
haya subiri nimsikie Mtanzania atakaechagua kutembelea Ulaya
 
Latifa Mohamed.....Pyramids.....ndio nini sasa...........
 
Wapi Mpoki? Tungepata hata mtu wa kutuchekesha, jamaa wanaenda mbio kweli, nafikiri wamekodi ukumbi kwa masaa machache!

Hata wasanii hakuna? Au ndio wote wako kwenye Fiesta!!!
 
Happiness - Dodoma has shown the highest confidence and high level of exposure ...
 
Back
Top Bottom