Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,881
Wale wadau wa ulimbwende......tukutane hapa saa hii.....
Ndio sasa mambo yapo jikoni.....Star TV......sijui nani atachukua........
huku tukisubiriu Miss World hapo tar 28 Sept..........tusuuze macho na hii.......
cc: Dark City.... Balantanda...... Kongosho.......na wengine.........
 
Last edited by a moderator:

aghhh mi naangalia hapa..bt sijapenda red carpet..nlitaka kuona watu wengi &stars especially ladies..kama wamebanaa..then Sauda anaongea sana
 
Hivi bado kuna hayo mambo?

Akina Lundenga walishanikera hadi nikapoteza mzuka....

Babu DC!!
 
aghhh mi naangalia hapa..bt sijapenda red carpet..nlitaka kuona watu wengi &stars especially ladies..kama wamebanaa..then Sauda anaongea sana

Sauda hana mwili wa nguo hata tone.........nini sasa kile amevaa.......ila nimefurahi kumuona Rashida Wanjara.....alinipotea muda sana......
 
nimemkosa angela damas
nimemkosa nasreen kareem
nimemkosa millean magese
nimemkosa richa adhia

lazima huyu wa sasa hivi na mimi nishafishe nyota
nikopa hata finca kwa kweli
khaaa

wao si wanajiita sijui pedeshee ndama mtoto wa ng'ombe mimi nitajiita c.t.u
pedeshee kifaranga mtoto wa kuku

KAMA MBWAI MBWAI TU

Ndio naangalia sasa, sijaona red carpet hata mmoja.
 
Sijapenda quality ya picha, hata hawa zoom in and out. Wamegandisha tu.
 
The girls' entry song and performance haikunifurahisha. It wasnt bad. Bt no oomph.
 
Ndio naangalia sasa, sijaona red carpet hata mmoja.

red carpet ilikuwepo.....ikiongozwa na Sauda Mwilima.........wewe tu na kuchelewa kwako.........
 
Hivi kwa nini wametuwekea recorded video clips za Marketing Director na Lundenga? Ina maanisha hawa watu hawapo au vipi kwa ajili ya kutoa " opening speech" ? Hivi kweli tunathamini haya mashindano?😕
 
halafu mbona wa mwaka huu wa kawaida sana?Hawana that x factor yani yenyewe unapata kwa watu kama Magese,faraja kota,nancy sumari na Ntuyabaliwe.
 
Miss Tz lakini nyimbo Nigeria,south..si wangepiga ata kibao cha mdogo wetu Diomond..Ngolololo
 
kuna mshono wa kitenge wa ngazingazi nimeuona..... Kongosho hebu niletee niuangalie vizuri........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom