Akuuu....! mie wa bonde la kusiniii napendaga tu wanavyosemaga.
ila show imepooza wanaboa sana..
upo makini.....................PretaMiss Photogenic.....Happiness Watimanywa........
Miss Top Model......Narieta Boniface......
Miss Talent........Prisca Clement......
Top Sports Woman.....Clara Bayo.......
Miss Personality.....Sevelina Lwinga.........
Ila hakuna "six pack"............Jamani Preta!!
Ila Miss Talent ana mvuto!!!
yaaa..kwa hwa watano si habaaa
Huyo mwenye black kanivutia kweli...
Mpya huyo, nimependa sio Mc kila siku Jokate na Taji....People na huyu Mc ndo nani?sijawahi kumsikia
Mpya huyo, nimependa sio Mc kila siku Jokate na Taji....