Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

Voltage low!! Insufficient Voltage!! Hiki ni nini kwenye screen yangu?
 
labda wabadili matokeo........lakini mpaka sasa Dodoma wamefanikiwa kutoa mshindi kwa mara ya kwanza.........
Haitakuwa mara ya kwanza shemeji....

Emily Adolph mwanafunzi toka Dodoma alikuwa Miss Tanzania mwaka 1995
 
hawa ma miss wetu wanasheria na wasomi wa vyuo mbona wameshindwa kujieleza jamani.amenisikitisha aliyeulizwa kama akipata nafasi atapenda kutembelea nchi gani na kwanini.eti anapenda kutembelea Egypt ili aone ma pyramid sasa hayo yatamsaidiaje yeye na ulimbwende wake katika kuwasaidia jamii ya watanzania.aliyeuwa kabisa aliyeulizwa atapenda kuonana na nani duh mbona dada zetu wanashindwa ku reason vitu vidogo kiasi hiki jamani
 
That is the song I was just waiting. Jamaa anaimba kweli, maana JD alikuwa anafatisha CD yake tu.
 
Yaani binti ametia aibu sana! Nelson Mandela Rais wa SA!? Nimetamani nimchape!

Ha ha ha! Yaani unataka umchape mwenzio na yeye amekariri desa lililokosewa! Amedai Mandela ambae ni rais wa SA amefungwa miaka 24 iliyopita! Ha ha ha... Unajua alisoma kwa kiingereza sasa alipotafsiri maana ikavurugika!
 
Sauda hana mwili wa nguo hata tone.........nini sasa kile amevaa.......ila nimefurahi kumuona Rashida Wanjara.....alinipotea muda sana......

Sauda jaman leo kapendeza tofaut na vituko vyake anavyovaa
 
Back
Top Bottom