Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
sure..at least angekua na dancers then angeimba na her band
Jamaa hawajatoa mkwanja wa kutosha ndio maana hata JD kafanya vile, imagine hata Prof Jay hajaimba part yake kwenye Joto Hasira.
Angalia watu wa kamera washamba, red carpet kina sauda washamba, gari la mshindi IST used (2004).