Yaani JF haaishi kuburudisha. Mie niliisikia hii toka kwa rafiki yangu "Ujinga ni Wazazi kuitana "baby" halafu watoto wao wanawaita "mummy'' / "daddy"
ni ujinga kujamba njiani halafu ukageuka nyuma kuangalia km kuna mtu kakuskia
Piga rungu......halafu kwa nini huwa hawaondoki?
ni ujinga kujamba njiani halafu ukageuka nyuma kuangalia km kuna mtu kakuskia
ha ha,umejuaje kama sio wewe mwenyewe?
Ujinga ni kumdanganya boss kwenye simu upo benki halafu anasikia sauti ya jogoo kawika!
Ujinga ni kumvalisha ng'ombe miwani ya kijani ili ale kila kitu
Hahahahaaaaa kweli hata mimi nishaifanya sana na hadi leo najiuliza inakuwaje mdudu haoni cursor ikitembea????Ujinga ni ku2mia arrow kwny computer kumfukuza mdudu alie kwenye screen ya computer
ni ujinga kujamba njiani halafu ukageuka nyuma kuangalia km kuna mtu kakuskia
Hahahaaaa kweli huo ni ujingaNimeipenda hiyooooooooooooooooo............... Yan unapiga Twwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. af unageuka ukiana hamna mtu unapiga MMBraaaaaaaaaaaaaaa...................
ni ujinga kucheka mwenyewe unapokua unasoma comments kwenye hii thread!
Ujinga ni kusoma miaka 4 secondary halafu unapata 0....