nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,904
Ni ujinga kuchokonoa masaburi na kunusa kidole after that
Wambuzi hiyo ndo tabia yako
Ni ujinga kuchokonoa masaburi na kunusa kidole after that
godoro unaliona kama mkate,kikombe unakiona kama pipa,mchicha unauona kama mbuyu.
Ujinga kuiponda hii thread wakati kila uki log in unaisaka!lol
Wambuzi hiyo ndo tabia yako
Ha ha ha ha ha.. Hapana, utoton ilikua. Ila kuna jamaa yangu mmoja aisee namuonaga yyan anajisahau kabisa mpka anafanya hata mkiwa mmekaa wote.. Ila ye huwa anajikuna kwa mbele kny vuzi. Alafu anachek kama hamuangalii.. Kitu kinapaitishwa puani. HATARI SANA HII!!!?
Nitonye nahisi na we ni mmoja wao, remember
"IT TAKES ONE TO KNOW THE ONE"
Ujinga ni kujifanya unaponda tabia ya kujichua ilhali we ni kamanda muhimu wa CHAWAPUTA {chama cha wapiga puchu Tanzania)
ha ha ha , tena anageuka kwa timing.ni ujinga kujamba njiani halafu ukageuka nyuma kuangalia km kuna mtu kakuskia
Noma sister wangu.ha ha ha , tena anageuka kwa timing.