Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
ujinga ni kumuita mhudumu "waiter" wakati wewe ndo unasubiria huduma. ..
Tuendelee wanajamii....
Wote ni 'waiters',mmoja anasubiri mteja/apate pesa na mwingine ansubiri huduma/akamuliwe pesa.
ujinga ni kumuita mhudumu "waiter" wakati wewe ndo unasubiria huduma. ..
Tuendelee wanajamii....
Ujinga, hausomi halafu unataka kufaulu!