Re: Ujinga

Re: Ujinga

ujinga ni kuangalia picha za wadada facebook wakat huna mpango nao
 
Ni ujinga kuongea na simu mbele ya watu huku umeweka loudspeaker...
 
ni ujinga kukataa kitu wakati unakitaka... e.g karibu chakula, aah asante..!
 
ujinga tena upumbavu kufukuzafukuza wanachuo udsm.
 
kuna mjamaa na yeye amenzisha ujinga.. Eti anasema ujinga nikupiga kiwi viatu waakati unaenda kupiga passport size
 
ujinga ni mwanamke anabakwa halafu katikati ya mchezo anaanza kuchekelea
 
ujinga ni ule kuuza nyumba halafu unaenda kupanga
 
Ujinga kukataa kupiga kura, baada ya uchaguzi unalalamika viongozi wabovu wamechaguliwa
 
Ujinga kukopa pesa benki, unanunua gari lakini unaishi kwenye nyumba ya kupanga. Huku jf mpo wengi.
 
Ujinga ni pale mtu anapokugongea mlango chooni wakati bado unakata gogo yaani stimu zote zinaondoka
 
Back
Top Bottom