Re: Ujinga

Re: Ujinga

Ujinga kuhoji ukweli wa threads za jukwaa hili huku ukijua ni jukwaa la utani, mizaha na fununu.
 
Ni ujinga kushangaa kufeli kwa Mwanaasha mtoto wa Mkuu wa kaya wakati ndio sehemu ya matokeo. KUFELI AU KUFAULU.
 
ujinga ni kuficha sura zenu halisi na majina yenu halisi ndani ya JF
 
Ha ha ha ha ha aa aha ha... Hata mi siondoki asiee... Kwa haya majibu
 
Ni ujinga kutokunywa vodka wakati unajiita vodka.
 
ujinga ni kuvaa nguo za kuendea beach wakati unaenda kazini/ofisini
 
Back
Top Bottom