Re: Ujinga

Re: Ujinga

Ujinga ni kumdanganya boss kwenye simu upo benki halafu anasikia sauti ya jogoo kawika!
 
Ujinga ni kutoa michango ya malaki ya pesa msibani. Wakati marehemu alikosa laki 1 tu ya kutibiwa private hospital wakati wa mgomo.
 
Pia ujinga ni kupika chapati upande mmoja kisa mafuta yamepanda bei..!
 
Ujinga ni kumuomba konda wa daladala kuwa una mia mbili halafu unampa 10000.
 
ha ha ha ha ha ha ... huu ni ujinga square aisee
 
Ujinga ni kumvalisha ng'ombe miwani ya kijani ili ale kila kitu
 
Ujinga ni kupunguza sauti ya redio wakati unataka kusoma messege kwenye simu yako.!
 
ni ujinga kudanganya nyumbani unaenda kanisani huku ukielekea gest-house
 
Back
Top Bottom