Re: Ujinga

Re: Ujinga

Ujinga ni kufikiri eti kabila lenye wa2 bahili ni wachaga 2
ujinga ni-tabia ya m2 m1 inakufanya uamini kuwa ni tabia ya kabila lao,mfano,unamuona binti anagawa p..sy sana na kwa vile ni mpare,basi wewe ulivyo mjinga unajua kuwa mabinti wa kipare wote ndivyo walivyo, MPOMPOPO mkubwa we.

ujinga ni ku-generalize wa2 ilhali kila mmoja alizaliwa kwa wakat wake.Ujinga ni kudhan kila anaevaa skuna ni mwl wa primary,wengine ni models.
 
Kwani ujinga si unafanywa na binadamu, na mimi huo ndiyo ujinga wangu sasa, wako bado haujasemwa?

Wangu bado haujsemwa mamito... Ukisemwa ntakuPM ctautaja hdharani..
 
acha na mm nifunguke! NI UJINGA KUNICHUKIA WAKATI SIKUJUI HUNIJUI!!!
 
Ujinga ni kufanya kazi katika chama usichokipenda eti kwa sababu ya maslahi
 
hata huu ni ujinga
wanaofikiri huunilioandika ni ujinga nao wajinga.
 
Ni ujnga kupiga cm redion halafu unaongeza saut ya redio yako ili ujckie unavyoongea.
 
dah umu ndani kuna mambo kweli natamani siku nizione sura za watu waloandika humu.

UJINGA NI KUWAFUKUZA UONGOZI WA WANACHUO WOTE AFU SIJUI TUONGOZWE NANANI?
 
Back
Top Bottom