indundidotcom
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 229
- 226
Kaachika kwa mme wake huwa anaropoka tu humu, ndo amayeua dhana ya jf for great thinkersWe hautulii, kila sehemu upo!.
Kaachika kwa mme wake huwa anaropoka tu humu, ndo amayeua dhana ya jf for great thinkersWe hautulii, kila sehemu upo!.
Muulize DJ zero, alikosa vyeti halafu urudi hapa.Kwani mtu ukikosa vyeti vya shule unapata madhara gani kiakili?
Hauzidi ulevi chakari wa dj.Ulevi wa madaraka safari hii ni mwingi sana kuliko ule wa bhangi
Atafikiriaje wakati hana akili? Huyo ana akili kiduuuuchu za kuvukia barabara tu
Nafikiri nafasi za ukuu wa mikoa/ Wilaya zingekuwa zinateuliwa kwa kuangalia sehem unakotoka ndipo unakuwa mkuu wa mkoa husika. mfano Bashite alitakiwa kuwa mkuu wa wilaya ya Misungwi huko Mwanza, Hizi kelele au tambo zisingekuwepo
Wacha weeeee !!Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam