RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

Kwani Zitto ni Mbunge wa Dar? Kwanini asiwachukue wabunge wa Dar!?

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam

 
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa ukiona anazuia kitu ujue anataarfa
Kamwambie aache bange, na wewe pia acha bange na kuropoka ropoka kila wakati. Itafikia mahali hata kama uko na point watu watakupuuza. Take my advice
 
Eti mtu huyu ndiye hua anaalikwa pale wasafi kwny kipindi cha dini J2 kuja kuhubiri kuhusiana na amani na upendo huku yule lil mwasha akijisemesha ooh my God,ooh haleluya,Ooh Jesus

Unafiki bana.
wasafi ni wanafiki
 
Naona unazidi kujichanganya tu, maana hakuna ulicho kiandika hapa
Tatizo liko kwa watu wa ujiji kuchagua mtu Zitto kabwe mkazi wa masaki dar es salaam kuwa mbunge wao!!! Hajielewi kuwa anatakiwa ziara na kuongelea aongelee ya jimbo Lake la kigoma faeces's salaam Tuna wabunge wetu na viongozi WA serikali wetu hatuhitaji msaada wake makonda na wabunge wa far es salaam WA CCM na upinzani wanatoshsa kutuwakilisha na kutusemea hatuhitaji msaada wa mbunge kutoka mwandiga kigoma mshamba atusemee
 
Back
Top Bottom