RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

Nafikiri nafasi za ukuu wa mikoa/ Wilaya zingekuwa zinateuliwa kwa kuangalia sehem unakotoka ndipo unakuwa mkuu wa mkoa husika. mfano Bashite alitakiwa kuwa mkuu wa wilaya ya Misungwi huko Mwanza, Hizi kelele au tambo zisingekuwepo

Hivi vyeo asili yake ni enzi ya ukabaila ambapo mfalme au malkia aliwazadia majimbo majemadari waliofanya vizuri vitani.

Kwa sasa havina tija yoyote na havitakiwi kuwepo kabisa.

Tumeamua tusiwe na serikali za majimbo sasa magavana wa nini tena? Katika historia yote ya uhuru wa nchi hii hakuna jambo lolote lenye tija kwa wananchi ambalo liko kwenye kumbukumbu kwa kufanywa na mkuu wa mkoa au Wilaya. Sanasana wananchi wanakumbukia uvurugwaji wa maisha yao uliofanywa na akina Kleruu na wakora wengine kama akina Nsa Kaisi.
 
Nimekutana na RC mstaafu Mwanza Miradi ya ujenzi anayofanya si mchezo naona sasa ndiyo anatumia alichokivuna
 
Back
Top Bottom